Vijana 7 Wachadema wanaofanya vizuri nje ya Bunge.... hawa hapa

Ni vizuri kutambua michango na juhudi za wengine badala ya kujidhania "mimi nimeanzia siasa CHADEMA, nimetoa mchango wangu na damu, hakuna wa kunigusa...."

Kuna watu wengi tu katika kada za chini ambao wana mchango mkubwa sawa na akina Mzee Mtei, Mzee Makani (RIP), Kamanda Mbowe, Dr. Slaa nk

Ni utamaduni mzuri na ni budi uenziwe. Si tu kwa walio wanachama wa CHADEMA bali hata wazalendo wengine kama marehemu Duadi Mwangosi ni budi tuwakumbuke na kuhakikisha historia inawekwa sawa.
 
mleta mada unatumiwa vibaya. jitambue

Ni kweli vijana wanapiga kazi nzuri sana! wapo kina ben, mungi, crashwise na wengne wengi. lakini napata harufu ya kutumika kwa mleta mada!
ajipambanue vizuri vinginevyo kuna mtu kamtuma na hii thread au kuna kitu behind the scene!
 
Wachaga wote isipokuwa mmoja. Poor chadema

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
MSUKULE

Mwenzangu ni msukule!
Anawaza kimsukule!
Anaandika ili ale!
Watoto wasipige kelele!
Ma------ni ana chale!
Zilizomgeuza akili!
Anawaza kwa vidole!
Kamanda siwe mpole!

Kuna viwango vya misukule!
Hiki ndio cha kilele!
Shime shime ishimile!
Tuunusuru msukule!
 
chadema kwisha kazi yake. Labda Zitto abaki hapo hapo alipo.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hiyo ni kweli asimia 100 ,mwingine kamanda anayetegemewa kwa usawishi ni kijana mmoja anaitwa FOCUS LAURENT,huyu jamaa akihutubia utafikiri Mandela rejea kongamano la vijana siku ya uhuru ukumbi wa landmark hotel!
 
Back
Top Bottom