Recent content by Jonpius

  1. J

    wakandarasi wa bongo mpo sirias kweli?

    hahaaaaa....nimeipenda sana.wako makini sana na kazi zao.
  2. J

    Show ya vinega vp?

    huyo mzee ametumwa na wafu fm.
  3. J

    CCM waanza? Magamba yaanzia kwa dagaa

    duh...inaonekana chama chote kina magamba.
  4. J

    Soma huyu jamaa wa clouds fm

    hiyo clouds kazi yao ni kujikomba kwa matajiri na serikali.
  5. J

    nimekuja chuo hapa mjini daslam bt life ishakuwa tite so cute mwenye mkwanja anitafute plz!!

    hahaaaaaaa....hakuna baba ntilie hapo chuoni kwenu uongee nae akuchukue mana nina hakika hela ya kula ndo inakusumbua.
  6. J

    Tuliooa

    dah...mna raha sana kwa sababu mna uhakika wa show...nitajiunga na hiki chama muda si mrefu.
Back
Top Bottom