Soma huyu jamaa wa clouds fm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Soma huyu jamaa wa clouds fm

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Nov 22, 2011.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,111
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Ndugu zanguni karibuni kipindi chetu cha jahazi kwanza ya yotesitotenda haki kwa kuwapa aslahaaaaam allheikhum wafuataokwanza nampa aslaaaaaham alleikhum aliekuwa ceo wa actl bW david mattaka ambae pamoja na yotealitoka mahakamani kwa dhaman ya sh million 20 na wengine woteee waliomzamini million kumi kumi naonawapa asalaaaaaaaaaam allheikhum..sisi ndugu zake tuko nyuma yake wakati huu mzitoloooohhhhhhhhhhh we ukae nyuma ya mattaka unamjua vizuri wewe ama ulikuwa unatania arnold kayanda embu mtake radhi kwanza kwa hili ..nahisi huyu bwana amewaweka miguuni wafanyakazi wengi wa clouds kila likifanyika tukio vishambenga hivyo zamani tulizoea mabinti sasa mpaka wanaume anyway bado mna muda wa kurekebishika cameroon amewapa miezi sita hivi vya dezo vitawaumiza
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Labda ni katika kusherehekea miaka 50 ya UHURU!
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,791
  Likes Received: 2,399
  Trophy Points: 280
  watangazaji wa clouds wana akili punguani hujikomba sana kwa watu
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,250
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama wanampaisha bali wanampakaza. Lugha ya picha hiyo,inasaidia kuuliza kwani imekuwaje...
   
 5. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,111
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  landa miaka 50 ya ucameroon
   
 6. j

  jigoku JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Kumbe unamzungumzia Kibonde basi nahama thread
   
 7. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Pung'az in action. Kweli ec ceo anapendwa
   
 8. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #8
  Nov 22, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  upuuzi kama huu ulisababisha waiombe radhi tbc.washenz wakubwa.
   
 9. M

  Mtandu Member

  #9
  Nov 22, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukistaajabu ya 'CLOUDS' utashangaa ya 'MAGIC' hasa kwenye ile 'Morning Magic yao'!
   
 10. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #10
  Nov 22, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  "Morning Magic" most boring. Orest ka- who and another similar mediocre announcer. Stopped listening to these two clowns long time ago.
   
 11. papaa masikini

  papaa masikini Senior Member

  #11
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  wanadhihirisha upungaz wao,hawa si wale wale wakuandaa birthday za Jk?
  Njaa zao zitawaumbua!
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Nov 22, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  sioni tatizo lolote, ni salaam tu na the mtangazaji ahs always been satirical about many stuffs, unless hukuelewa some
   
 13. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #13
  Nov 22, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  mbona kama wanaeleweka washikaji hawaaa! au ni kwa vile nawasikiliza kwa muda mchacha ngoja nitawafatilia :A S-coffee::photo:
   
 14. J

  Jonpius Member

  #14
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiyo clouds kazi yao ni kujikomba kwa matajiri na serikali.
   
 15. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #15
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,367
  Likes Received: 22,230
  Trophy Points: 280
  Mbona walikuwa wanajikomba sana hata kwa MFALME. Mr. Nice mfalme wa takeu
   
 16. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #16
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,526
  Likes Received: 5,674
  Trophy Points: 280
  Mtashangaa soon Kibonde anapewa ukuu wa wilaya! Very soon!
   
 17. P

  Panda Kapesi JF-Expert Member

  #17
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 284
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 60
  To be honest and fair naona toka Kibonde ameenda likizo quality ya coverage ya kipindi cha jahazi imeimprove kidogo. Kibonde alikuwa ni stooge hilo kila mtu anajua lakini hata mda ule nilikuwa nahisi huyu bwana mdogo kayanda alikuiwa hayuko confortable na mfumo wa Kibonde na kuna muda alikuwa anamchallenge sana lakini Kibonde alikuwa anabulldoze mambo. Sasa with KLibonde temporarily out of the picture naona Kayanda na huyu bwana mdogo Wasiwasi Mwabulambo wameanza kutoa a more objective and balanced coverage ya matangazo na comments zao. Siku hizi wanajitahidi kucover issues za Chama tawala na upinzani kwa kuongea na wahusika moja kwa moja badala ya kuwasemea na kudistort (refer to discussions zao na Nape na Tundu Lissu hivi Karibuni); hata usomaje wa magazeti uko balanced maana wanasoma sio tu uhuru na habari leo ila mwananchi na hata tanzania Daima. There is still a lot to be done kurudisha hadhi lakini ni mwanzo mzuri na the best thing that can happen kwa ClLOUDS ni kutomrudisha huyu stooge Kibonde kwenye kipindi hiki na kuwaachia hawa vijana waendelee with minimum interference!
   
 18. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #18
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,250
  Trophy Points: 280
  Lol! Si bora wampe barbara! Hehehe
   
 19. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #19
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hivi hii redio ipo bado haijafa?
   
 20. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #20
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mi siku hizi nasikiliza radio times fm 100.5mhz, cluds walishaniboa siku nyingi mi nimejiunga na vinega na mpaka sasa mimi ni kinega
   
Loading...