Nchi za ulaya na Marekani nafikiri zinachochea kwa kiasi kikubwa. Wao ndiyo wamelazimisha serikali ikubali kuweka mkataba na muasi michar. Lakini shida ni mafuta na UBINAFSI wa kiongozi wa waasi, tamaa ya madaraka na nchi za magharibi.
Walifanya uchaguzi vizuri lakini ubinafsi na nchi za...
Watanzania mnapenda misaada toka ulaya na marekani. Mnafikiri wao wanaokota hela. Hizo hela mnazolilia zije kuwasaidia kimaendeleo ni KODI za wananchi wao.
Nyie mkiambiwa mlipe KODI mnaingiza siasa, kelele kibao, wengine wanataka kuzunguka nchi nzima kupinga kulipa kodi na budget. Kweli Watz...
Acha upuuzi, anatoka mkoa wa Shinyanga anaenda mkoa wa Mwanza.
Watu wa mwanza wanataka maisha ya maendeleo, wafanyekazi zao wapate kipato wale, watoto waende shule etc
Hivi Zitto anapinga vita vya serikali ya jpm kwa wala rushwa na mafisadi.
Hivi Shose Sinare yuko ndani chini ya serikali ya jpm.
Sasa nakumbuka wimbo wa Twanga Pepeta wa Jambo limezua jambo
Upinzani Tanzania ni kutoa matusi, kashfa, dharau kwa serikali badala ya kutoa hoja na sera mbadala kwa ajiri ya maendeleo. Kweli wanasiasa wa Africa walishalaaniwa na MUNGU ndiyo hamna maendeleo.
Wabunge wanalipwa posho na mishahara mbali na biashara zao. Vijana wasiojitambua wanaacha biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.