Yuko wapi Emmanuel Nchimbi?

Yuko wapi Emmanuel Nchimbi?

Emanuel nchimbi Leo hakuna kijana wa ccm abasimamia anachoamn angalia hawa kinapolepole wanegeuka makasuku
 
W
Habari za leo wana jamii,

Napenda kujua huyu kada nguli kabisa toka enzi za umoja wa vijana mpaka kuja kuwa waziri na sasa amepotea kama upepo uvumao. Namuulizia Emmanuel Nchimbi maana naona wengine wanaukwaa ukuu wa mikoa, ubalozi.

Yeye nini hasa kimempata mpaka kuwa kimya hivi. Hata kwenye vyombo vya habari haonekani. Napenda tu kujua maana ni makada waliongoza harakati za kuitetea CCM iwe mvua iwe jua walikua tayari hata kufa chama kibaki.

Nawasilisha.
wewe Dr Nchimbi baada ya kuona Dr Magufuli hakupi nafasi umeamua kuja kujipigia debe humu mwenyewe? Kwanini uliogopa kumfuata Lowassa uliyekuwa unamtetea? Tena Lowassa angepitishwa kugombea Urais ndani ya CCM wee ndyo ulikuwa uwe waziri mkuu wake. Sasa ukae Kimya hizo ndyo siasa.
 
Nchimbi amepumzika kwao Songea! Muacheni apumzike! Wakimkumbuka watamwita wampe chochote anachostahili!! Kwa sasa acha apumzike! Analima kwao huko
 
Jaribu kuficha ujinga wako, kila anefuatilia siasa anajua alipo Dr. slaa kwa kuwa anapost mambo kutoka huko alipo na aliaga anaenda kupumzika, sio lazima uingize chadema hata kwenye swala lisilo husu chadema, wote tunajua Nchimba kapotea kimya kimya ndio maana anauliziwa hapa, kama unataka kujua zaidi kuhusu slaa anzisha mada yako acha kudandia dandia mwisho utaaibika.
Acha kutoka mapovu ya mdomo,Vp kuhusu Ole medeye na mnyika unaweza kujua pia Walipo au nao pia waliaga jombaa Za mbayuwayu...............
 
Acha kutoka mapovu ya mdomo,Vp kuhusu Ole medeye na mnyika unaweza kujua pia Walipo au nao pia waliaga jombaa Za mbayuwayu...............
kweli una za mbayuwayu! hujui medeye alipo? hata kama hukwenda shule hili sio swali.
 
kweli una za mbayuwayu! hujui medeye alipo? hata kama hukwenda shule hili sio swali.
Kweli ww ndio una za mbayuwayu hujui Nchimbi alipo? Unauliza swali kama Kilaza bwana huu mchezo hauitaji hasira
 
Kweli ww ndio una za mbayuwayu hujui Nchimbi alipo? Unauliza swali kama ****** bwana huu mchezo hauitaji hasira
Mbayuwayu kweli wewe tena kilaza wao, swali hujibiwa kwa jibu sio swali kwa swali, kama unajua alipo ungejibu hilo swali ili tupate kufahamu wote, sio kukimbia swali wakati wewe pia hujui jibu. Tulia usome uelimishwa.
 
Habari za leo wana jamii,

Napenda kujua huyu kada nguli kabisa toka enzi za umoja wa vijana mpaka kuja kuwa waziri na sasa amepotea kama upepo uvumao. Namuulizia Emmanuel Nchimbi maana naona wengine wanaukwaa ukuu wa mikoa, ubalozi.

Yeye nini hasa kimempata mpaka kuwa kimya hivi. Hata kwenye vyombo vya habari haonekani. Napenda tu kujua maana ni makada waliongoza harakati za kuitetea CCM iwe mvua iwe jua walikua tayari hata kufa chama kibaki.

Nawasilisha.

Yuko wapi Mabere Marando?
 
Mbayuwayu kweli wewe tena ****** wao, swali hujibiwa kwa jibu sio swali kwa swali, kama unajua alipo ungejibu hilo swali ili tupate kufahamu wote, sio kukimbia swali wakati wewe pia hujui jibu. Tulia usome uelimishwa.
Babu vp una arosto ya kiroba nn c uende ufipani ukagonge
 
Babu vp una arosto ya kiroba nn c uende ufipani ukagonge
nDIPO AKILI YAKO ILIPO AMKIA? POLE KUMBE NAHANGAIKA NA MLEVI?! Pombe ikiisha kanywe nyingine ili uendelee kujipa faraja kuwa umeelimika vya kutosha.
 
Sidhani alikuwa na nia ya siasa za baada ya uchaguzi kabla ya hapo alifanya ziara ya kuwashukuru wananchi wa jimbo lake na kuwaaga rasmi atogembea tena anawaachia wengine na zawadi ya basi akatoa kwa timu ya mpira. In short amesha saza atakuwa na shughuli zingine nje ya siasa.
 
Kwanza kwa wanaomfahamu Nchimbi siyo mtu anayeweza kuitwa mwanasiasa Nguli. Nchimbi alibebwa na mambo machache

1. Family background- anatokea kwenye familia iliyokuwa na uongozi wa kisiasa
2. Students politics za Mzumbe zilimwigiza UVCCM
3. Wakati anaingia UVCCM hapakuwepo strong character hivyo ikawa rahisi kupenya
ILa, Nchimbi siyo strong politician is very average character kwenye mambo mengi.
Kuhusu kutoteuliwa katika teuzi za Magufuli zinazoendelea, jibu ni jepesi sana- Emanuel Nchimbi ndiye aliyeitisha kikao na waandishi wa habari na kueleza kwamba Chama hakifuata utaratibu katika kukata jina la Lowasa
Nasisitizia hiyo namba3 Inasemekana MTU aliekuwa anampa Homa kwenye UVCCM alikuwa Kijana wa Mzee MALECELA simkumbuki Vzr jina lake Bahati Mbaya alifariki wakiti minyukano ya kuusaka ukuu ikiwa inaendelea
 
Hivi huu utoto huku JF utaisha lini? Nchimbi, sofia simba na wale wengine hawakuwa wanafiki wao walitamka hadharani hawakukubaliana na kilichotokea, unajua maana ya unafiki? utoto utoto utoto utoto.
kweli mkuu
 
Ipyana Malecela
 
Yuko Tanzania

Kwa habari zaidi nenda chadema kwa kada aliyetokea ccm,
 
Huyu jamaa kwa sasa 'anaangalia' mali za Rostam Aziz NHC and Efata Bank. Mambo ya Ngoswe amemwachia Ngoswe mwenyewe. Tafadhali mwacheni.
 
Hivi huu utoto huku JF utaisha lini? Nchimbi, sofia simba na wale wengine hawakuwa wanafiki wao walitamka hadharani hawakukubaliana na kilichotokea, unajua maana ya unafiki? utoto utoto utoto utoto.
tunamwita ni mnafiki kwa sababu alitoka kwenye kikao cha kamati ya maadili kwa kutokukubaliana na kilichokuwa kinafanyika, lakin baadae akamwunga mkono yule aliyeptishwa "kwa njia isiyohalali". sasa hapo huoni hiyo ni ishara ya mtu mwenye ndimi mbili?. mnamwita POLEPOLE ni mnafiki kwa sababu kile alichokuwa anahubir na anachokitenda kwa sasa ni vitu viwil vinavyotofautiana the same to nchimbi.
 
Hivi huu utoto huku JF utaisha lini? Nchimbi, sofia simba na wale wengine hawakuwa wanafiki wao walitamka hadharani hawakukubaliana na kilichotokea, unajua maana ya unafiki? utoto utoto utoto utoto.
 
Back
Top Bottom