I have a friend ambaye ni insider serikalini and very good na hizi politics za South Sudan,anasema issue ni ukabila tuu wala sio mafuta,President wa sasa kaweka watu wa kabila lake tuu na mbaya zaidi anawamaliza wasio kabila lake na inaonekana serikali ya sasa soon itaanguka kwa sababu hawana pesa kabisa na wameishiwa silaha,mafuta hawauzi tena na waarabu wa North contractually wanachukua nusu ya sales zote kwa sababu wanatumia pipeline yao,and worse rebels wanasaidiwa na Chad na US kwa kiasi Fulani maana wameshamuona huyu Salva Kiir is just a sleazy,i believed the guy maana ni kabila moja na President