singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536

Katika hili napenda kumpongeza Lowassa kwa kusoma alama za nyakati kwa kukubali kuwa kashindwa kihalali kabisa na kuwata wapambe wake wajiandae na 2020. Lakini Napenda kumpa anagalizo kama ataimudu kasi hii ya Magufuli, ni bora akastaafu kwa heshima na kukumbukwa kuwa ameleta changamoto katika uchaguzi 2015, lakini kama ataendelea kujidanganya kuwa anaweza kushinda 2020 yasije kumkuta ya Mrema ambaye ameshasahaulika katika siasa za Tanzania.