Recent content by jongoro

  1. jongoro

    Nimepata kazi nchini Botswana, mshahara us dolla 700 kwa mwezi

    We nae....mwenzio anataka ushauri
  2. jongoro

    Mume wangu anaumwa!

    Ulikuwa huna sababu ya kuandika huu ujinga wako lkn....pia ukumbuke ww binadamu kama huyo anaeomba ushauri leo ipo cku na ww yatakuja yakukute makubwa hata ya huyu uliemshauri maneno ya kejeli haya ni madogo....kuwa na stara
  3. jongoro

    Mwisho wa Diamond umekaribia, ilikuwa lazima aanguke

    Mawazo yako hayo...ila unatakiwa ujue huyo diamond si chizi ma baba wengi wasiojielewa wana tabia hizo za kutelekeza watoto na kuwaachia kina mama mzigo wote....sasa kwann asimthamin mama ake aliemlea kwa shida? leo huyo baba ake ndo anajitilisha huruma inahusu!
  4. jongoro

    Ushauri wa bure kwa Waislam

    Kwani ungenyamaza koo lako lingetoboka?....hayakuhusu haya ya mahakama ya kadhi yann yakushughulushe?
  5. jongoro

    Hapa UTI haikwepeki

    Kweli m/mungu yupo fakhina lkn asikwambie mtu kwa mwanamke hayo maji ni hatari mimi nilienda kumsaidia mama angu ktk mafuriko yale ya mwaka juzi sijui.....kuchukuwa watoto tu baada ya week nilianza kuwashwa haifai coz hapo vyoo vyote vimejaa
  6. jongoro

    Kwa wale wanaopenda nyama choma tuonane

    Hahahahaaaaa....ww jamani! matusi!!
  7. jongoro

    Nimezaa na nisiyempenda

    Wewe mwenyewe ulikuwa unapenda bila ya hiyo sijui nn....usimsingizie mwenzio hapa mlikubaliana huko leo kibao kimegeuka wasema yy ndo alikuwa hataki..
  8. jongoro

    Nimepokea SMS hii nifanyeje?

    Ifute hiyo sms...
  9. jongoro

    Mwanamke hapendi kukata kiuno halafu ananiganda

    Hana haya huyu....chefuuuuu
  10. jongoro

    Ajali mbaya Musoma: Basi la Mwanza Coach limegongana uso kwa uso na basi la J4

    M/mungu awarehemu maiti hawa jaman...inasikitisha
  11. jongoro

    Dalili ya mvua ni mawingu

    Hahahahaaaaa...
  12. jongoro

    Habari njema kwa Watanzania wote wenye akili timamu

    Hakina maana kwanza...
Back
Top Bottom