Manchris Jbisd
SPAMMER
- Apr 9, 2013
- 691
- 495
akimwaga mboga, na mi namwaga ugali, maji ya kunawa, chachandu n.k. na mimi ntaanza kuchana mistari ya kimombo kama T I-no mediocre
&umelala uwoo umelala uwoo umelala uwo mtarimbo umelala doorooo&
kwisha habari yako hapo.,,..
mjibu umekuwa dreve wa treni kwa muda mrefu ndo maana unaweza kudandia bila kupata madhara
Ukiona Mwanamke anaanza kuimba mashairi ya taarabu ndani ya nyumba ujue ni dalili za kukuchoka!, tena anaimba mistari mikali mikali. Yaani kila ukirudi unakutana na mistari mipya.
Wadau mnalionaje hili, kuna mfanyakazi mwenzangu amepatwa na hii hali yupo stressed haelewi kinachoendelea. Kuna mstari mmoja kaniambia sema nimeusahau ila hauleti heshima katika ndoa ama mahusiano.
Naomba mnitajie mistari ile yenye kuudhi nikiiona nitaiweka halafu tuambiane kama inaleta heshima ktk ndoa.
From no where mkeo baada ya kuzoeana sana anakuambia "umedandia treni kwa mbele" bila shaka hz ni dalili za kukuchoka.
tabia za watu wa pwani hizi.
hawaziimbi hizo!
utaondoka mara ngapi ndugu? Na dawa ya tatizo sio kulikimbia, ni kulitatua, kulingana na mjumbe mmoja kabla ya kuoa na wewe angalau ujue miziki ya kufoka foka.
akianza ivi: titititititiriiiiiiiiiiiiitititititititiiiiiiiiii wajifanya kuwabize kumbe walioko bize wanaendesha totota landcruser lx babu.Ukiona Mwanamke anaanza kuimba mashairi ya taarabu ndani ya nyumba ujue ni dalili za kukuchoka!, tena anaimba mistari mikali mikali. Yaani kila ukirudi unakutana na mistari mipya. Wadau mnalionaje hili, kuna mfanyakazi mwenzangu amepatwa na hii hali yupo stressed haelewi kinachoendelea. Kuna mstari mmoja kaniambia sema nimeusahau ila hauleti heshima katika ndoa ama mahusiano. Naomba mnitajie mistari ile yenye kuudhi nikiiona nitaiweka halafu tuambiane kama inaleta heshima ktk ndoa. From no where mkeo baada ya kuzoeana sana anakuambia "umedandia treni kwa mbele" bila shaka hz ni dalili za kukuchoka.
Ukiona Mwanamke anaanza kuimba mashairi ya taarabu ndani ya nyumba ujue ni dalili za kukuchoka!, tena anaimba mistari mikali mikali. Yaani kila ukirudi unakutana na mistari mipya.
Wadau mnalionaje hili, kuna mfanyakazi mwenzangu amepatwa na hii hali yupo stressed haelewi kinachoendelea. Kuna mstari mmoja kaniambia sema nimeusahau ila hauleti heshima katika ndoa ama mahusiano.
Naomba mnitajie mistari ile yenye kuudhi nikiiona nitaiweka halafu tuambiane kama inaleta heshima ktk ndoa.
From no where mkeo baada ya kuzoeana sana anakuambia "umedandia treni kwa mbele" bila shaka hz ni dalili za kukuchoka.
Usijali baba watoto ntaimba gospel
mie hiyo signature yako tu, dah!
Kweli subira haina hasara....Kama anaimba mashairi ya hivi, huyo afaa kuwa mke.
ahhhhhha ahhha nafaa kua mke kwa kigezo cha signature??
Rejea mada kuu, Mamaafacebook
Mmweeeee!
Asante kwa kunijaalia ushindi bibie.