cute datty
JF-Expert Member
- Jul 11, 2014
- 582
- 277
Mi mwenyewe cijaelewa kitu.Ila nimenote maneno mawili tu JIANDAE na GEREZANI basi.Msg yenyewe mbona hata haieleweki
Mi mwenyewe cijaelewa kitu.Ila nimenote maneno mawili tu JIANDAE na GEREZANI basi.Msg yenyewe mbona hata haieleweki
Easy badili namba
wewe wah mapema kumshtak polisi kabla yy hajakuwah ...tena fanya fasta
Sasa wewe siku zote hizo ulisubiri nini kufuta namba yake hadi kakutext ukamkumbuka
Hawa watoto hawa, yaani kidato cha nne, tayari anapigwa nao? tena unaweza kuta mleta mada hakukuta bikra pale! Dah, kaaz kwel kwel.
Oooh!!kumbe ndo wewe.....sasa nimejua pakuanzia
Mpigie ujue anatabu gani na kwa nini uende gerezani...... tumoa condom unamwaga kama unaweka kwenye bakuli
soma vzuri, uhusiano ulianza november mwakajana uliisha june 2014
vidole vyake vilikuwa vinamuandikia mwalimu msg,kichwa chake kilikuwa kinakuwaza wewe,wakati wa kutuma msg vidole vikachanganya vikatuma msg kwako,MSG SIO YAKO NI YA MWALIMU!
hebu kuwa wazi je ulimuingilia nyama tunyama????? na hiyo November mlianza kugegedana au kama vipi subiri ajifungue tu ukapime dna japo siku hizi gea nyingi za madada wa mjini ni kubambikia watu mimba stuka kua makini.
nilikuwa na2mia soksi,,but thanx kwa ushaur wako
Blaza, Kama ulichoandika hapa kinaakisi mawazo yako halisi.2013, mwanafunzi wa kidato cha nne, demu wako, mimba, mwalimu wake...najaribu kuunganisha matukio nione kama mtoto wangu nimpeleke shule au nimfundishe mwenyewe!
Mamaausokitabu mimi nimevutiwa na kasiginecha kako.Umetumia soks ana mimba yako???? Vinakuingia akilini
Mamaausokitabu mimi nimevutiwa na kasiginecha kako.
Kazuri bwana.