Movie ni art yenye hela sana ikifanywa kiusahihi but imekosa watu wenye shule kichwani ndiyo maana kitanzania imeendelea kufeli. Ukweli bongo movie watu hawajasoma kabisa wengi wao
Kwakweli kinachonishangaza ni kuwa vitu vya wazi mnajipa nazo visababu vya kuhalalisha upande wenu,taarifa inatakiwa inyooshwe na kuhusu risasi ni kweli jamaa amepigwa lakini unapodai hiyo nguo nyeupe ni vest tujiulize pia ilivuliwa saa ngapi!!? Na nani na huku bado muhusika anaonekana na shati...
Nafikiri watanzania tunajisahau kuwa tanzania ni yetu wote bila kujali utofauti wa vyama vyetu hivyo kuumbuana hakutuletei maendeleo kama hatuwezi kutoa njia za msingi za kuleta maendeleo bora ya nchi na ikumbukwe kuwa upinzani walimsifia Magu kuwa anafanya sawasawa na ilani yao.. sasa sielewi...
Inaonekana kuna watu wanaitumia sheria kutekeleza azma zao bila kuelewea kuna leo na kesho unaweza kukuta uliyemwonea amekuwa naye bosi nawe ukamwitaji.Anyway tungoje uchunguzi uendelee kwanzaa
Japo sikujui kaka ila nachokiona hapo ni kuwa mkeo kachagua maisha wyake kabla hata hajaonana na wewe na kufanya uamuzi usiogeuzwa na yeyote hivyo huyo hata awe bilionea hawezi badilika kabisa ndiyo maana anataka aendelee na kazi hiyohiyo na huku unajua karatasi haiwezi kucheza karibu na moto...
Hayo mambo hayalazimishwi rafiki yangu,ukomavu wa akili tutaona utakapofanya maamuzi sahihi ya kumwacha aende zake lakini pia weka focus yako kwenye maisha yako,wanawake hawaishi tena unapoanza chuo ndiyo kabisa utashangazwa zaidi. Penda unapopendwa asiyekupenda achaba naye
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.