Vijana kutembea nusu uchi, Wizara ipo wapi?

Vijana kutembea nusu uchi, Wizara ipo wapi?

ndo nyie nyie wanenu wakitoka nusu uchi eti umependeza mwidho wa siku mnatamani mnawakula . waafrika hasa KE wangejitambua thamani ya miili yao wasingeacha uchu maumbile yao.

Ndo maana nasema unataka wizara ije kuwavalisha??

Waambie wazazi
 
Sio wazazi wawadhibiti majumbani kwao?

wapo wengine wanaishi maisha yao wayajuwayo magetoni i mean . be honest na wengine wanakaa na wazazi wao lkn ndo waliotekwa na yutopiani ideai hivyo ni tabu sana mkuu
 
wapo wengine wanaishi maisha yao wayajuwayo magetoni i mean . be honest na wengine wanakaa na wazazi wao lkn ndo waliotekwa na yutopiani ideai hivyo ni tabu sana mkuu

Okay sawa, kwahyo polisi ndo wasimamie hizo sheria au jeshi au sungusungu??
 
weka picha tuone wanavyovaa, ila afadhali mavazi hawa bmk akili zao ziko nusu uchi.
 
kila siku najiuliza sana hivi kwa miaka ijayo kizazi cha sasa hivi kitakuwaje? kwa sababu kwa sasa kuvaa nusu uchi na kuwa na tabia za ajabu katika jamii imepitidhwa na wizara ya utamaduni muda huo kuna watoto wanazaliwa na wanaendelea kuzaliwa katika mazingira ya tabia hizo, hali hii kwa badae itakuwaje watu watatembea uchi mzima sababu saikolojikale mtoto anapokua kuanzia kati ya mwaka1 mpk nane hii sakolojikale itaathiri karakana ya ubongo wake na yeye kuwa hivyo ndo maana watu mnalalamika lakini imezoeleka. sasa jamii ibadilike tutakimbilia wapi pa kuwalelea watoto wetu?

Umeongea ukweli mkuu. Hapa ndipo unapo ona kuwa serikali sasa imechoka kutawala nchi kwani wanahofia kuwakemea vijana na mavazi yao pamoja na tabia za kijinga kwa kuhofia kutopewa kura kunako 2015.
 
Umeongea ukweli mkuu. Hapa ndipo unapo ona kuwa serikali sasa imechoka kutawala nchi kwani wanahofia kuwakemea vijana na mavazi yao pamoja na tabia za kijinga kwa kuhofia kutopewa kura kunako 2015.

haswaaa umekuna penyewe mkuu
 
wanaogopa kuwasema eti ni haki zao lakini ipo siku watu watakunya katikati ya barabara kwa kisingizio eti ni haki za binadamu na watu wataona sawa tu ... serikali mnaliharibu ili taifa kwa kuamua kujitia upofu kizazi cha vijana kikiangamia
 
Ukisikia kizazi cha nyoka ndio hiki, ulitegemea itafika kipindi mahari zitatumwa kwa M-Pesa? Siku zijazo haitakuwa ajabu mtu na binti yake kuolewa na mwanaume m1...,

Mahari m pesa umeniacha hoi
 
Ukisikia kizazi cha nyoka ndio hiki, ulitegemea itafika kipindi mahari zitatumwa kwa M-Pesa? Siku zijazo haitakuwa ajabu mtu na binti yake kuolewa na mwanaume m1...,

Usiseme wizara iko wapi uliza wazazi wao wako wapi
 
Kwa hiyo mkuu wewe unasubiri wizara ndio ije ikutengenezee maadili?

Maadili yanaanzia nyumbani, ndipo yanaendelezwa ktk taasisi nyingine kama shule, vyombo vya habar, serekali na taasisi za dini. Suala la maadili linamhusu kila mtu.
 
Its not a matter of being late!! Hapo Tunapaswa kusema 'it starts with me!'
Una ndugu, mtoto, dada pamoja na ww mwenyewe ...unalichukuaje hili la kuvaa nusu uchi ww pamoja na familia yako?? ....au ndo ulimwengu wa mabata tena watoto mbele wazee nyuma kuburuzwa tu wanavojiskia watoto tunafata??
Kila mmoja anapaswa kujua wajibu wake kwenye kukemea hili..tunauliza wizara wakati tunaishi na wazee 24/7..kwanini tusianze nyumbani? Utakuta Mtoto mdogo kavishwa ka jeans kafupi km chupi anaranda mtaani, kapata wapi ile km hakunuliwa na mzee wake,...halafu sasa ndo mtoto anakua nayo hayo.. akivaa gauni ati mshamba!!

you cant change it Its too late just think again
 
Ianzishwe wizara ya mambo ya nyuchi na udhibiti wa nyuchi wazi
 
Back
Top Bottom