Jonathan Kisungwe
Member
- Aug 21, 2014
- 11
- 6
Mahakama ya kadhi itaidhinisha vifo vingi vya wakristo.. kama mnaitaka ifwateni uarabuni
Kwa hiyo mkuu wewe unasubiri wizara ndio ije ikutengenezee maadili?
Maadili yanaanzia nyumbani, ndipo yanaendelezwa ktk taasisi nyingine kama shule, vyombo vya habar, serekali na taasisi za dini. Suala la maadili linamhusu kila mtu.
Habari kama hii inanoga na picha kidogo!