Ila umesahau CCM na mpango wao wa elimu bora nchini na uboreshaji wa miundombinu na afya huoni nalo hilo bado 2015 ndo watatueleza ujinga wao walioufanya kwa muda wa miaka 5
HAYA YOTE NI KUTOKANA NA UDHAIFU WA KIKWETE NA SERIKALI YAKE YA CCM NA UCHU WA UNYONYAJI KATIKA NCHI HII ILI WAJITAJIRISHE WAO NA FAMILIA ZAO. NI HIVI JUZI TU HATA HATUJASAHAU YALIYOTOKEA ARUSHA KATIKA KANISA LA MT.JOSEPH LEO TENA MTWARA TUNAENDA WAPI NDUGU ZANGU? NCHI HII IMEKOSA NINI...
tatizo CCM wanapenda kuforce mambo ona sasa hata Mwenyezi Mungu kasema hapana huoni ajali imetokea mlitaka kwenda kuuwa ndugu zetu sio eeeeee sasa imeshindikana
Katika huu mchakato wa katiba mpya kuna mambo hatuyaelewi kabisa imekuwa ni kama desturi wanakuwa kimya kwa mda flani halafu wanakuja kushtukiza jambo na kwa nilivyoona katika mchakato huu matangazo yake hayatiliwi mkazo sana kama mambo mengine na yanapelekea baadhi ya wananchi kukosa haki ya...
uongozi tumpe sisi kutishiwa maisha tuwe sisi sasa anafanya kazi kwa ajili ya nani na kwa madhumuni gani? au hajuia anatumia kodi za watanzania kupata mshahara wake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.