CHADEMA WAIBUKA NA STYLE TOFAUTI:
Hatimaye Chadema wameamua kuna na mbinu mpya ya kupakia mashabiki wao kwenye malori kwa ajili ya kufanikisha mafuriko ya mikutano wanayoandaa,pia waliopakizwa wamethibitisha kulipwa posho ya kuanzia 10000 na kuendelea, japo kiwango kiwango huongezeka kutokana na uelewa wa shabiki husika.

Wanasomba watu kisha wanakwenda kuwahotubia kisha wanaita mafuriko...daah!!
Kwenye mikutano na mikoa waliokuwa na wanapita wameonekana wakiwa na malori,mafuso na costa ukawa ambao haitambuliki na katiba yeyote ilee waanza lubugi,,,wasubiri kipigo october 25,2015
CHADEMA WAIBUKA NA STYLE TOFAUTI:
Hatimaye Chadema wameamua kuna na mbinu mpya ya kupakia mashabiki wao kwenye malori kwa ajili ya kufanikisha mafuriko ya mikutano wanayoandaa,pia waliopakizwa wamethibitisha kulipwa posho ya kuanzia 10000 na kuendelea, japo kiwango kiwango huongezeka kutokana na uelewa wa shabiki husika.
Mbwa!unaongea usilolijua we we!
mbona hata nyinyiemu wanabeba watu kwa mafuso na matrekta kutoka wilaya nyingine?
Jana Kahama watu wamesombwa kutoka Msalala na Ushetu na vijiji vingine vya wilayani Mbogwe wakaletwa Kahama ili ionekane Magulusifuri anakubalika kumbe mafuriko ya kuchonga!
Sikusimuliwa nilikuwepo na gari tulilopanda sisi tulilamba buku 10 kila mtu na wengi tulienda kuona wasanii!
halafu Tunachagua Lowassa!
kama vp nawe #toroka uje!
Ukawa hawana kitu saahizi sera za kuwavutia watu hazipotena lazima wafanye hvyo
Igeni na push up pia, ila mpige karibu na zahanati msije kusumbua ambulance.
Acha upunguani, hizi picha ni za zamani na nyingine ni siku ya kuchukua form, ccm uongo unawasaidia nini?
Mbwa!
Kwa hiyo unakubali kuwa CCM na Chadema wote wanasomba mashabiki wao na malori kwenye mikutano wao?
Wabebaji ni magamba. Ukawa huenda wenyewe na ni lazima watumie usafiri tena waWanasomba watu kisha wanakwenda kuwahotubia kisha wanaita mafuriko...daah!!