Lukuvi kila mara anashinda kule jimbo la Ismani kwa hila za kuiba kura au kuwanunua wale wanaompinga!! Dawa yake 2015 ni kulinda hayo masanduku ya kura na kumsimamisha kamanda ambae hatanunulika!! Mkifanya hivyo hata atumie ndumba za namna gani ubunge hapiti!!!