Recent content by Jombi Jombii

  1. J

    Vijana wa Arusha: Ukiisaliti CHADEMA utapigwa tu!

    Wasaliti kaeni sawa red brigedi wapo tayari mafunzo kutoa adhabu za suluba kwenu
  2. J

    Dr.slaa:tar 14/8/2013 kuwasha moto ndani ya arusha

    Medeye na Lowasa kichwa kinaumaaaaaa!
  3. J

    Sintofahamu ndani ya CHADEMA juu ya michango ya Sabodo

    Aisee hii picha weka mbali na watoto!
  4. J

    Tendwa aionya tena CHADEMA...

    Ubongo wake umejaa mavi!
  5. J

    MWASISI wa MUUNGANO wa ZANZIBAR anaitwa nani? Na muungano ulifanyika lini

    Kama vipo tangu asili basi kumbe ni kweli historia inavyodai kuwa Tanganyika ,unguja na pemba zilikuwa sehemu moja tangu asili,tumetenganishwa na ukoloni
  6. J

    Freeman Mbowe aripoti tena Polisi (Makao Makuu); Ashikilia Msimamo Kutowapa Ushahidi

    Bahati mbaya wakati anahojiwa bomu lilipuka lenyewe na uchunguzi unaendelea!Teh teh
  7. J

    Mbatia 'aipa' CCM ushindi kuongoza Halmashauri ya Uvinza

    Ni wakati wa chadema kuwarejesha kundini akina Kafulila ili hiyo kigoma waidhibiti huyo Bwabwa aone kama atapewa tena viti maalum
  8. J

    Mbatia 'aipa' CCM ushindi kuongoza Halmashauri ya Uvinza

    Kweli Mbatia bwabwa ANAKUMBATIWA SANA!
  9. J

    Vita kati ya Seif na Hamad Rashid yaibukia Manzese

    Nyerere aliwatimua wote hao kutoka CCM kwa uroho wa madaraka na ubinafsi wa upemba.Sasa Hamad Rashid kakosa uongozi wa upinzani bungeni bila kutarajia na CCM wakashindwa kumsaidia dhidi ya Chadema sasa anaua chama chake.Dhambi ya ubaguzi hiyo!!
  10. J

    CHADEMA waamua ku-'OCCUPY ARUSHA'; Kushinikiza LEMA aachiwe!

    Arusha kila mtu kivyake bana,wewe unawaza kulishwa kwa ni Chadema ni CCM wanaohonga vyakula na nyama za nyumbu!!!Hapa ni haki tu hata tukila nyasi mpaka kieleweke MEEEEN!!
  11. J

    CHADEMA waamua ku-'OCCUPY ARUSHA'; Kushinikiza LEMA aachiwe!

    Acha U**nge mtu kubambikiwa kesi sio suala la msingi?Mfumuko wa bei utashuka kwa watu kutofanya kazi na kuhudhuria mahakamani kwa kesi za kipumbavu?Hate your foolishness!!
  12. J

    JF, mmemuona Shein analia na maoni yenu?

    Waziri wa Masuala ya Zanzibar ktika baraza la mawaziri wa Jam ya Muungano wa Tz
  13. J

    JF, mmemuona Shein analia na maoni yenu?

    Dr Shein kwangu ni mbunge wa jimbo la Zanzibar ambaye pia ni waziri wa Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania akiiwakilsha Zanzibar(JIMBO)katiba baraza la mawaziri!!!Rais gani anaapa kama waziri popote duniani ?Tusidanganyane hapa
Back
Top Bottom