Walizoea kuishi kwa hila na uzandiki, haya yanayotokea sio mageni kwani yalianza toka mwaka 1995 na yakajirudia mwaka 2005 na pia wakati wa kumtema uspika mzee sita.
Mwambieni mzee wa safari ya matumaini awe mvumilivu kwani mbona wamekatwa wengi tu maarufu na pia yeye ni muasisi wa fitina hizo...
hivi hawa polisi wetu hawataki kujifunza kutoka kwenye matukio mengi ya siku za nyuma, au ni ujinga wao wa kukosa weledi au ni maelekezo ya mabosi wao????
inashangaza.
hiyo nyimbo ya mpya ya ifuate uichokue nimeisikia jana redio ina ujumbe mkubwa sana kwa watawala wetu.
bahati mbaya zaidi watawala zetu huwa si wasikilizaji wa nyimbo zake&
tatizo hujaeleza sababu za kushindwa kuanza internship mapema; sio rahisi kupata kazi ya udaktari bila kupita internship kwani kwenye internship ndiko daktari anakopikwa; mwambie anze mapema kwani huko wanalipwa mashahara wa 80% wa daktari.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.