Recent content by jojipoji koromije

  1. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji tufanye biashara

    Ticha kajichanganya!! Kazama mazima kwenye mfumo!! 😁😁😁 Alikuwa over ambitious wakati anaanza na hakutaka ushauri!! Sasa project imemkabia juu anarudi JF kuomba aokolewe kwenye mzamo!! 😂😂😂 Cha msingi aangalie kipi kinauzika sasa hivi ili hiyo hela aitumie kujikwamua!! Dah Ticha aisee!!! 😂😂😂
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais Samia aanguka ghafla wakati wa kampeni Mbalizi, Mbeya

    Mtu amekesha unakunywa Konyagi halafu asubuhi kwenye hizo hekaheka unategemea atakuwa na nguvu!! Lazima azime!!
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nimesoma page ya Mange ya Instagram, kuna ma Royce rolls na ma Bugatti acha kabisa, nimejiona mimi ni bure kabisa

    Kwa hii thread yako una kili udhaifu wako na kumwachia kazi nzito Mwenyezi Mungu wakati yeye alishamaliza kazi yake kwa kukupa akili na nguvu ila hujui jinsi ya kuzitumia. Kwa hili Mwenyezi Mungu anapewa lawama bure.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

    Huwezi exaggerate kwa mtiririko huo!! Mdau aliyeleta huu uzi 2012 inaonekana alikuwa na mkono kwenye habari nyeti (mtiririko wa thread hauna shaka hata kidogo). Kama yupo hai atupe mwendelezo. Maana ni kitambo!! Members kama akina Saint Ivuga simuoni tena, sawa na akina Lizaboni. Watu...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

    Mkuu Salama!! Lete updates!! Uzi huu wa 2012 lakini una aksi kinachoendelea leo 2025, takribani miaka 13 iliyopita!!. Hatari sana.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Najuta kuanzisha biashara ya baa, nashindwa na gharama za uendeshaji

    Mwamba bia zipo?nije nigonge hii easy Sunday; Au ulifilisika na kufunga bar?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Power Breakfast Clouds FM inaboa siku hizi

    Tujitahidi kuheshimu taaluma za watu. Hao waliodhibitiwa na Ithbati wakasome, vyuo vipo then warudi kazini. Uandishi wa habari ulivamiwa na kila mtu. Sasa uheshimike.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Hello Hello naomba mnipokee

    😂😂😂 Kazini kwa mtafuta kazi kuna kazi! 😂😂😂
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mrisho Mpoto anawezaje kusimama kwenye Jukwaa la Kampeni za CCM siku chache tu baada ya Mkewe kufariki?

    I’m Bro hayo ni makafara! Kwani mtu mwenyewe si unamuona tu jinsi alivyo!! Halafu haya maisha yetu wanadamu ni mafupi sana kwanini ujiingize kwenye makafara na kupoteza roho za wenzio wakati wewe hata kufikisha 70 ni majaliwa!! . Ni shida aisee!!
  10. J

    JamiiForums Tanzania Hello Hello naomba mnipokee

    Hiyo hiyo unayoifanya. Kijacho anaendeleaje?
  11. J

    JamiiForums Tanzania Hello Hello naomba mnipokee

    Jamani shitukeni na hizi ID mpya humu!! Watu wapo kazini. 😎
  12. J

    JamiiForums Tanzania Rais wa TLS: Tumezungumza mengi na Rais Samia

    Kaongea points sana. Bilashaka suala la kuachiwa kwa Tundu Lisu lilikuwa moja ya agenda muhimu.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Waliosaini Maadili ya Uchaguzi waanza kulia kilio cha Mayowe

    Nauona uchaguzi huu wa 2025 ndo utakaokuwa na wapiga kura wachache sana. Umekinahiwa hata kabla ya kuanza.
  14. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa: Uteuzi wa Luhaga Mpina ni batili kisheria, hastahili kuwa Mgombea Urais kupitia ACT

    Baada ya kuona Moto wa Mpina kuelekea Ikulu hauzuiliki wameanza kumwekea Zengwe kupitia kwa jike pandikizi Monalisa.
  15. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa: Uteuzi wa Luhaga Mpina ni batili kisheria, hastahili kuwa Mgombea Urais kupitia ACT

    Tayari leo ni tarehe 27/08. Tupe report au tuendelee kusubili?
Back
Top Bottom