Usiibiwe ndugu. mi ni mtundu sana kwenye simu ila icloud haitoki kirahisi na kama ukiweza kuendana na vigezo vya kuitoa bei yake ni ghali sana na inafanywa na wafanyakazi wa apple wenye maduka yao binafsi ya simu na ufundi. Ukilinganisha gharama ya kutoa icloud, ni bora ununue simu mpya coz bei...
Nahisi huyu jamaa hajui anachozungumzia. Icloud is network based na lazima uwe na access kwenye server za apple. Kama una mtu apple, sawa nakubali ila kama sivyo, TO HELL!!! Nina Iphone nimeletewa hapa kama 8 naziuza spare tu,,,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.