Tarakilishi
JF-Expert Member
- May 19, 2013
- 2,180
- 2,453
Ikiwezekana maana yake na system ya icloud imekufa! Any jailbroken apple devices hazilindwi na apple tena! Kwa maana nyingine kama goal yako ni usalama basi simu yako si salama tena.Kwa iPhone kutoa iCloud inawezekana,
Ila inatumia Muda kidogo ku-jail break process zake!!!....Ndo maana kila baada ya Muda Huwa wanatoa updates kwa ajili ya kudhibiti access.
Kwa hapa town nawafamu vijana 2 wanakufanyia iyo kazi .Ila ghalama zake sio hizo twenty,ni km 120 mpk 200.pia inategemea km ilikuwa imeripotiwa lost au hapana!!,km lost status encryption inakuwa ngumu na ghalama zinaongezeka.
Inawekana ku bypass iCloud.