Ninatoa Icloud kwenye simu za Iphone

Ninatoa Icloud kwenye simu za Iphone

sound hizi, ukienda atakuambia umuachie simu miezi mitatu, jambo ambalo gumu.
 
Kuna jamaa anaitwa Arthur ni IT wa coca cola anatoa Icloud vizuri sana, na amewahi toa mbele yangu pale mwanza
 
Nahisi huyu jamaa hajui anachozungumzia. Icloud is network based na lazima uwe na access kwenye server za apple. Kama una mtu apple, sawa nakubali ila kama sivyo, TO HELL!!! Nina Iphone nimeletewa hapa kama 8 naziuza spare tu,,,
 
OFFER....OFFER...
nahitaji mwenye Iphone ina icloud namutolea kwa bei ya 20000 tu nikiwa katika majaribio baada ya kuhitimu mafunzo ya IT
73546960bfe73f8c7d6316cc95707a39.jpg
Hayo majaribio yanaisha lin?
 
Amesema 20000 me nadhani aweke namba ya simu atafutwe.. Huu sio utapeli Kwa sababu huwez kumtumia hela na simu hajaiona.. Tuache uwoga na kurudishana nyuma.. Jamaa anaweza kuvunja record akafahamika
 
Kwa iPhone kutoa iCloud inawezekana,
Ila inatumia Muda kidogo ku-jail break process zake!!!....Ndo maana kila baada ya Muda Huwa wanatoa updates kwa ajili ya kudhibiti access.
Kwa hapa town nawafamu vijana 2 wanakufanyia iyo kazi .Ila ghalama zake sio hizo twenty,ni km 120 mpk 200.pia inategemea km ilikuwa imeripotiwa lost au hapana!!,km lost status encryption inakuwa ngumu na ghalama zinaongezeka.
Inawekana ku bypass iCloud.
 
Amesema 20000 me nadhani aweke namba ya simu atafutwe.. Huu sio utapeli Kwa sababu huwez kumtumia hela na simu hajaiona.. Tuache uwoga na kurudishana nyuma.. Jamaa anaweza kuvunja record akafahamika
kwaiyo munabisha kuwa Iphone haitolewi icloud
549cb977a6b76950aed3ce034470a074.jpg
 
Mnadanganyana tuu, iCloud ni moja ya sifa ya apple ktk kuuza bidhaa zao
Mafundi wengi bongo wanatafuta shule ya jinsi ya kutoa icloud youtube na wengine wanabaitisha tuu
Apple wamefanya tena security update hata mwezi ujaisha na sasa ni IOS 10.2.1
Wewe unae jifanya unatoa hata nikupe simu yangu ukaenayo mika 7 utaishia kuichuna rangi tuu
Nakushauri toa icloud za tecno tuu
 
Mkuu weka contact kabisa kama kweli tupe na location kabisa.
 
Mnadanganyana tuu, iCloud ni moja ya sifa ya apple ktk kuuza bidhaa zao
Mafundi wengi bongo wanatafuta shule ya jinsi ya kutoa icloud youtube na wengine wanabaitisha tuu
Apple wamefanya tena security update hata mwezi ujaisha na sasa ni IOS 10.2.1
Wewe unae jifanya unatoa hata nikupe simu yangu ukaenayo mika 7 utaishia kuichuna rangi tuu
Nakushauri toa icloud za tecno tuu

Kweli kabsa mkuu yangu iko hiyo version IOS 10.2.1
 
Back
Top Bottom