Recent content by Johnson Alex Otieno

  1. Johnson Alex Otieno

    JamiiForums Tanzania Waliomsaliti Humphrey Polepole waanza kuonja joto ya jiwe

    andiko la kipumnavu na kichawa sana,alaaniwe aliyekuzaa mbwa wewe
  2. Johnson Alex Otieno

    JamiiForums Tanzania Polepole umechelewa sana, mtandao upo Hadi kata ya makutupora

    Jeshini Nako Kuna Wana mtandao
  3. Johnson Alex Otieno

    JamiiForums Tanzania Polepole umechelewa sana, mtandao upo Hadi kata ya makutupora

    Kaka mkubwa nakuandikia usiku wa Leo. Umetumikia Taifa sana ngazi zote mpaka ubalozi huko Cuba na Nchi za carribiane. Umechelewa sana kufanya maamzi kaka mkubwa,Leo unashindana na Wana mtandao ambao tayari wana mizizi nchi nzima. Unawezaje kushinda hii nguvu ya wahuni na ukawa Salama kaka...
  4. Johnson Alex Otieno

    JamiiForums Tanzania C.W.T BUKOMBE ,uchaguzi sio maagizo toka Juu ni mchakato huru,wazi na wa haki.

    Salaam kwenu wana wa nchi. Nimepita hapa jimbo la Bukombe na nimekutana na mambo ya ajabu sana. Moja ya mambo haya ni Uchaguzi wa Chama Cha Walimu Tanzania. Katika mchakato wa kuwapata viongozi mbalimbali wa chama hiki cha wasomi wa Tanzania na walezi wa watoto wa Watanzania nimeambiwa na...
  5. Johnson Alex Otieno

    JamiiForums Tanzania Mapoli na misitu yetu ilindwe dhidi ya wafugaji wa kigeni

    0 Kama nimekuelewa vizuri,viongozi wetu wa vitongoji,vijiji/mitaa ,wilaya na mkoa wanapokea rushwa kutoka kwa wafugaji wa nchi za kigeni.Naweza sema waliofanya wafugaji wa kigeni kujazana namsega,bihalamlo na maeneo mengine ni matokeo ya ruhswa wanazopokea viongozi wetu. Kweli wazalendo...
  6. Johnson Alex Otieno

    JamiiForums Tanzania Akili ya Rais Kagame

    Mzee hongera kwa andiko refu lenye masifu ya PAKA,Kwangu na Watanzania wazalendo tuna amini hakuna rais bora zaidi ya Marais wa Tanzania tangu 1961 ukilinganisha na Dikteta uliyemtaja. Kwangu mimi huyo unahemtaja anatakiwa kutoa majibu juu ya mgogoro wa DRC na kuhusika kwake na kundi la M23...
  7. Johnson Alex Otieno

    JamiiForums Tanzania Mapoli na misitu yetu ilindwe dhidi ya wafugaji wa kigeni

    Salaam watanzania. Nimeona niwajuze watanzania na vyombo vinavyolinda mipaka ya nchi hii kubwa na Tukufu. Kwa miaka zaidi ya minne nimekuwa nikitembelea mikoa tajwa,mambo niliyoona ni haya ; 1) Makundi makubwa ya ng'ombe toka nchi jilani huingia na kutoka nchini Tanzania kila baada ya kipindi...
  8. Johnson Alex Otieno

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi 2025

    Habari za mapumziko mabibi na mabwana. Jambo moja nataka watanzania wafahamu ni kwamba hii CHADEMA ya sasa inayoongozwa na FAM imechokwa na watawala hivyo watawala wapo Kazini kubrand Chama cha ACT Wazalendo kuwa Chama kikuu cha upinzanzani. Najua mtauliza kwa namna gani watawala wanataka ACT...
  9. Johnson Alex Otieno

    JamiiForums Tanzania Mchongo ni rushwa

    "Mchongo". Rushwa/Takwima/Chai/Zawadi/Asante. Ukifika Swekeni unaambiwa kuna MCHONGO,tafuta wanaoeleweka,leta majina yao wapate mchongo. Wanaoeleweka ni wale wanaotoa chochote kitu kwa mwenye mchongo. Athari za MCHONGO. Tumekuwa na watendaji wabovu,wasiojiamini,walamba viatu na wenye...
  10. Johnson Alex Otieno

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maumivu ya MAPENZI hayana msaidizi hutembea kwenye mishipa ya damu kabisa

    Naona unapita nyakati ambazo napita,nimejiapiza sitamwacha mwanamke ninayempenda kisa tubkalala na mwanaume mwingine Leo.Ataludi kwangu,ataoga na tutaomba Toba pamoja,baada ya hayo nitakuwa nae siku zote
  11. Johnson Alex Otieno

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba linauzwa Dodoma

    Chihanga ni mbali sana na Kambi ya jeshi makutupora,unapita mchemwa ndo unaingia huko swekeni.Lakini kwa bei hiyo ni sawa Tena utakuwa umetoa Bure,gawaye heka imefika zaidi ya 4.5m
  12. Johnson Alex Otieno

    JamiiForums Tanzania Nahitaji wa kunijazia form ya ufadhili, nitakupoza

    Nipo tayari kukusaidia ndg katika kazi,nitafute kwa no hii 0719 609248/0612739248
  13. Johnson Alex Otieno

    JamiiForums Tanzania Inashangaza kuona Naibu Waziri anaeshutumiwa kuwaamuru askari wa uhifadhi wawaachie ng'ombe waliokamatwa bonde la Ihefu bado yupo ofisini

    Kuna wazii mmoja ana ng'ombe zaidi ya elfu mbili kule Kigosi,mawaziri na viongozi wengi ndio vyanzo vya uharibifu wa mazingira na vyanzo vya migogoro nchini
  14. Johnson Alex Otieno

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wakuu wa wilaya hamfanyi kazi, mnasubiri mkeka

    Mlio karibu na mama pelekeni cv yangu, Naweza kumsaidia vizuri wilaya au mkoa wowote hasa kanda ya ziwa, mkeka huo nisikose wazee
  15. Johnson Alex Otieno

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Bukombe walipeni watumishi madeni yao ili tupate matokeo chanya

    Salaam wana jukwaa, Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa uzima na afya njema, pia niwashukuru watumishi wote nchini Tanzania kwa kuendelea kujenga Taifa letu bila kujali kadhia mnazokumbana nazo toka kwa wakuu wenu wa vitengo na wengine wengi waliopewa mamlaka ya kusimamia...
Back
Top Bottom