Recent content by Johnny Bravo

  1. Johnny Bravo

    Hebu nipatie uzoefu hapa

    Unataka kutuambia kuwa google kwenye computer au simu yako haifunguki au?
  2. Johnny Bravo

    Apewe hongera mgunduzi wa PM

    Kazi chafu zote PM
  3. Johnny Bravo

    Naomba nifahamishwe kuhusu cheti cha ndoa

    Mkuu kwani we unataka cheti cha wapi. Ongea vizuri.
  4. Johnny Bravo

    Je, ni halali kutoza riba bila kibali?

    Mi nimekuelewa wewe mkuu. salute
  5. Johnny Bravo

    Kama ni kweli haya yanayosemwa Le Mutuz badilika haraka sana

    So Unamkubali Le mutuz now days? anh!
  6. Johnny Bravo

    Kama ni kweli haya yanayosemwa Le Mutuz badilika haraka sana

    Mkuu acha kujipendekeza kwa sana, mtoto wa kiume wewe. :cool2:
  7. Johnny Bravo

    Chidi Benz asimulia ilivyokuwa hadi kukamatwa na dawa za kulevya Airport

    Ana Mashati 15 kwa hiyo anavaa kwa muda wa wiki mbili tu.
  8. Johnny Bravo

    Audio books za kutosha kwenye Galaxy Pocket

    Jamani leo ijumaa TGIF :hail: Nauza galaxy pocket yangu, ndani yake sasa, kuna audio books za kutosha kama: 1. 21 Ways To Meet And Marry The Woman Of Your Dreams - Brian Tracy 2. The Art of War by Sun Tzu 3. The Miracle of Self-discipline The No-Excuses Way to Getting Things Done 4. The...
  9. Johnny Bravo

    Kwanini wazungu ndio huandika kwa Kiswahili?

    You now inglish is very gud, gud gud. be cause you tak inglish every body anderstand here in our cantry and autside the cantry. inglish is gud i think that is impotence of inglish you know! :usa2::usa2:
  10. Johnny Bravo

    Sale: Samsung S4 (Mediatek) na galax Pocket Gone Cheap

    Mkuu zinapatikana @ 200K. Ila haziingii ndani ya maji :A S wink:
  11. Johnny Bravo

    Sale: Samsung S4 (Mediatek) na galax Pocket Gone Cheap

    mzigo bado upo. usisikilize madebe matupu.
  12. Johnny Bravo

    Sale: Samsung S4 (Mediatek) na galax Pocket Gone Cheap

    Usiogope Mkuu ndio bei halisi labda ulikua hujafahamu ni aina gani ya bidhaa. Karibu usiogope.
  13. Johnny Bravo

    Sale: Samsung S4 (Mediatek) na galax Pocket Gone Cheap

    Nimetoa Taaria Sahihi kabisa Japokuwa hiyo S4 ni clone lakini mjanja wa mjini ukiishika hakuna atakae gundua kabisa. ukizingatia inatumia android. Hako kadogo unaweza kutumia kama WIFI hotspot ni ka ukweli ukimpatia babe ako pia.
Back
Top Bottom