Recent content by johnjohn

  1. J

    Mkuu wa Wilaya ya Mkinga Bi. Mboni Mgaza, kajikamatisha...

    Tena hapo anastahili sifa kwa kuweza kuwashawishi NHC kujenga nyumba bora za kisasa ambazo wafanyakazi wa wilaya wataishi hapo Mkinga ili kuepuka adha ya kusafiri kila asubuhi kutoka Tanga Mjini na kurejea Tanga Mjini jioni.
  2. J

    Rais Kikwete ateua Balozi mpya wa Tanzania nchini Saud Arabia

    Uteuzi hufuata weledi na umakini na wala si dini au jina la mtu
  3. J

    Rais Kikwete ateua Balozi mpya wa Tanzania nchini Saud Arabia

    Inapendeza sana kwa mwislamu kuwa Balozi katika nchi ya kiislamu. Kwa mkristo kuwa Balozi huko itamuwia vigumu kwani hata yeye akitaka kuabudu atalitafuta kanisa asilione.
  4. J

    Rais Kikwete ateua Balozi mpya wa Tanzania nchini Saud Arabia

    Hongera sana Bw. Mgaza wewe ni jembe
  5. J

    Uteuzi wa Manaibu Mabalozi, Hakuna Mzanzibari….! Hata Miccm itokayo Zenji haikuchaguliwa ~ Salaaaleh

    Mbona Waziri Membe alipomalizia hotuba ya Bejeti ya mwaka huu alisema suala la uteuzi wa Wazanzibar kuwa Mabalozi linatiliwa maani na hakuna ubaguzi wowote! Na alitoa ahadi kuwa hivi karibuni watateuliwa Mabalozi na Manaibu Mabalozi wengine ambao miongoni mwao yatakuwemo majina ya Wazanzibar...
  6. J

    Images: Pres Barack Obama in Senegal

    Mshoga hawabaguliwi kama binaadamu bali zinazowafanya wabaguliwe ni tabia zao kutumiana kwa jinsia moja kinyume na maumbile, hata wanyama hawana tabia hiyo, je iweje kwa binaadamu?
  7. J

    Dr. Batilda Amsalimia Mhe. Ruto "Shikamoo"

    Ruto ni mkubwa kwa Batilda
  8. J

    Uwekezaji wa NHC - Mchechu awajibike

    Hapa sidhani kwamba kuna chuki na DG wa NHC. Inashangaza DG wa NHC anajitoa katika sakata hili, wao NHC wanahusika kwa kiasi kikubwa na uzembe uliopelekea watu 36 kufariki. Inapaswa nao wawe ni miongoni mwa watu 8 wanahojiwa na Polisi kituo cha kati. Pamoja na kazi nzuri zote DG wa NHC...
  9. J

    Aibu ya kitaifa kwenye ujio wa Rais wa China: Tunakipuuza Kiswahili mbele za wageni?

    Kuzumgumza kiingereza pale ktk hafla ilikuwa ni wajibu kwa kuwa pia walialikwa mabalozi wa nchi mbalimbali na kama ujuavyo lugha rasmi za TZ ni mbili kiingereza na kiswahili. Hulazimika kutumia kiingereza kama kuna mchanganyiko wa watu wa kimataifa na hutumia kiswahili inapolazimu kama hakuna...
  10. J

    Hongera Taifa Stars!

    Hongera TAIFA STARS, ushindi ni ushindi tu hata kama Taifa Stars haitakwenda Brazil ktk kombe la dunia lakini inabaki katika historia kwamba tarahe 24.3.2013 Tanzania iliifunga Morocco bao 3-1. Katika haratakati za kwenda Brazil, timu ya San Marino imefungwa bao 8-0 na Uingereza tena nchini...
  11. J

    Hali yavurugika Lubumbashi (Congo), Watanzania wakwama!

    Mkuu hiyo namba ni sahihi +243825727131 Mimi niliwatafuta watu wa Ubalozi niliapata, wanasema hali imarejea kuwa shwari
  12. J

    Hali yavurugika Lubumbashi (Congo), Watanzania wakwama!

    Kwa mawasiliano na Ubalozi wa Tanzania uliopo Kinshasa jaribuni namba hii +243825727131
  13. J

    Why our President snubs AU Meetings..

    Mimi nimempenda kwa msimamo wake wa kutopenda safari za nje. Tofauti na hawa viongozi wetu wanapenda kusafiri sana wakiwa na makundi makubwa ya watu pamoja wa wake zao hata katika ziara za kikazi, wake zao huenda kufanya nini!!!
  14. J

    Hali si shwari Jumuiya ya Wazazi CCM

    Bujugo tapeli mali ya jumuiya atajimilikishaje kienyeji!!! Kama kweli alitumia bilioni 3 si angejenga na kuanzisha chuo chake mwenyewe kikubwa chenye hadhi totauti na chuo cha Kaole ambacho kiko hohehahe!!!
Back
Top Bottom