KingCobra95
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,231
- 5,820
Leo nikiwa nikisikiliza kipindi cha Maisha ni nyumba NHC,ktk kipengele cha mahojiano na mkuu wa wilaya ya Mkinga Bi. Mboni Mgaza,amesema kutokana na watumishi wengi wa wilaya yake kuishi Tanga Mjini ameamua kuwa mwaka wa bajeti 2015/16 fedha iliokuwa imetengwa kwaajili ya miradi ya maendeleo itaondolewa na kwenda kujenga nyumba za watumishi Mkinga.
Huyu dada ni jipu mheshimiwa rais na amekiri kwa mdomo wake ,ktk uteuzi wako wa Wakuu wa wilaya naomba uondokane na hili jipu.
Huyu dada ni jipu mheshimiwa rais na amekiri kwa mdomo wake ,ktk uteuzi wako wa Wakuu wa wilaya naomba uondokane na hili jipu.
Last edited by a moderator: