Recent content by John360

  1. J

    JamiiForums Tanzania Waalimu wa elimu maalumu. Ni lini serikali itatuajiri?

    Umetisha[emoji28] [emoji12] [emoji2] [emoji1]
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kuhusu hukumu ya kesi ya wizi wa kukota

    Jidanganye sana utafungwa ww. Nashukuru mungu hukumu imetoka jamaa arudishe hela yangu na kapigwa faini 50000 ya mahakama au jela miezi mitatu akirudi alipe hiyo hela.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kuhusu hukumu ya kesi ya wizi wa kukota

    Kwa hiyo ukiokota Mali ya mtu na usitoe taarifa eneo husika na watu walikuona kipindi unaokota na wakakushauri ukakaidi hilo sio kosa.Sababu wizi ni kuhamisha kitu chochote kile kinacho amishika kwa lengo LA kukiiba
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kuhusu hukumu ya kesi ya wizi wa kukota

    Ni kweli ameokota hiyo hela sababu mashahidi walimuona kipindi anaokota na walipo mwambia apeleke polisi au kwa kiongozi wa eneo husika aligoma,mashahidi walilipoti polisi baada ya kupata taarifa nilifungua kesi kwa maelezo yake alikubali mbele ya polisi kwamba kaokota 30000 na sio 350000 Mimi...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kuhusu hukumu ya kesi ya wizi wa kukota

    Niliangusha hela 350000 Kuna jamaa ameokota hiyo hela 350000 alafu kakataa kwa kusema ameokota 30000 mashaidi wapo waliomuona akiokota hela kesi IPO mahakamani naombeni ushauri jaman kwa maswali ya kumbana huyu jamaa
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kipi tufanye Wasabato mnatuchanganya!

    Ukweli unauma tena xana 2
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kipi tufanye Wasabato mnatuchanganya!

    Tatizo kubwa lipo kwenye ubongo wako kushindwa kupambanua fikra sahihi na muktadha barabara pole xana.Nakufananisha na tz nchi yenye rasilimali za kutosha lkn bado maskini ifike Mahali ubadilike
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kilimo ni biashara pekee inayolipa kwa 100%

    Kuna sababu nyingi zinazo Fanya watu kuwa maskin wengine wana rasilimali nzur tu ila bado maskin n Kama tz nchi ina kila kitu lkn bado maskini. Ukweli kilimo bora kinalipa xana na watu wanatajirika coz kulimo
Back
Top Bottom