TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 23,914
- 23,079
Nilichokigundua ...waliofanikiwa wengi hawasemi up and down walizokumbana nazo kufikia mafaniko yao.
Kilimo ilikua inaonekana ni kazi za mafukara,sasa hivi kila mtu anakimbilia kulima,magu kabana biashara mjini haziendi km kipindi cha jk.watu sasa wameamua kulima tu.tatizo linakuja wakilima wengi,supply inakua kubwa,demand inashuka,bei inaenda chini.profit inakua ndogo
mm nililima mwaka jana matikiti kwani sikufanikiwa kupata kitu zaidi ya matikiti ya machache ya kula home basi ndo niliambulia ndo maana kilimo ni balaa ila sikati tamaa nitaaingia tena kwa upya kulima
Mara ya kwanza kulima kidogo nipagawe, nililima vitunguu!!!mm nililima mwaka jana matikiti kwani sikufanikiwa kupata kitu zaidi ya matikiti ya machache ya kula home basi ndo niliambulia ndo maana kilimo ni balaa ila sikati tamaa nitaaingia tena kwa upya kulima
Uko sahii mkuu.Kuna watu wapo busy kuhangaika kutafuta ajira serikalini na mashirika binafsi, wengi hufikiri kuwa wanaweza kutoka kwa kuajiriwa, vijana wengi wanaogopa kujihusisha na kilimo aidha wanafikiri kuwa kilimo hakilipi na wajanja waliopo huko hawawambii wenzao kuwa kilimo kinalipa.
Nitoe ushuhuda kidogo mwezi wa 9 mwaka jana nimelima ekari mbili gharama haikuzidi laki 5 lakini nimeuza mahindi hayo zaidi ya milioni 3. Na bado mengine nikaacha kwa ajili ya chakula, hebu fikiria sasa ni biashara gani ya laki tano ambayo unaweza ifanya kwa mtaji wa laki tano ukapata mil 3 kwa muda wa miezi 4 kwa kifupi haipo.
Mishahara mingi ya waajiriwa wenye shahada ni 450,000/=(kwa wale wenye mikopo) na 560,000/= kama huna mkopo, sasa tufanye hesabu fupi tuchukulie uhalisia kwamba vijana wengi wamesoma kwa mkopo, 450,000 ukilipia nyumba, umeme, maji na matumizi mengineyo unajikuta haifiki tarehe kumi tano unaanza kukopa tena, lakini ukichukua 450,000×12 =5,400,000/= kwa mwaka mzima, hii pesa kwa mkulima ni msimu mmoja tena huyo ni mkulima mdogo kabisa na kwa mwaka kuna misimu miwili.
Ushauri wangu kwa vijana tujaribu kuwekeza kwenye faida yake ni kubwa lakini pia kilimo ni mradi endelevu, idadi ya watu inazidi kuongezeka hivyo mahitaji ya chakula ni mengi kuliko idadi ya watu.
Ni kama tunapoanza kazi, miaka ya mwanzo haifanani na tukiisha bobea kwenye taaluma.Mara ya kwanza kulima kidogo nipagawe, nililima vitunguu!!!
Cha msingi usikate tamaa, tathmini makosa uliyofanya awali ili usiyarudie then taratibu mambo yatajipa. Experience is a good teacher.
Walioenda shule mara nyingi huwa ni maskini sababu ya maelezo unayoyatoa hapo juu. Mnaogopa sana Risk. Shule haikufundishi kutafta solution. Inakuacha tu njia panda kutambua Risk.Fanya utafit kwanza ndipo utoe ushaur, japo ushaur wako ni mzur sana
Lakin tuangalie risk katika kilimo tanzania tena kilimo endelevu.
Ni kweli mazao ya chakula soko lake ni lauwakika sana
Ila swali la kujiuliza shortage ya mahid iliyopo maeneo ya mikoa ya kaskazin wakulima wa kusuni ambao wanasuplus ya mahid wataweza faidika na hali hiyo
Je nyanya za dumila, mkulima anaweza faidika na shortage ya nyanya dar.
Kisha waza mtu alie chukua mkopo bank na anatakiwa kulipa na riba, kwa hali kama hiyo ataweza.
Maana utafit unasaidia kupunguza riski, ila kuingia ktk biashara bila utafik na kuangalia flan alipata nin tena kwa kipind kifup ni hatar sana.
Ni vema kujua taarifa za zao utakalo kulilima kama sehemu ya uwekezaji wako kuanzia mazingira ya uzalishaji (inputs) kama chanzo ya maji yako kwa hali ya sasa, usafirishaji, pembe jeo na mambo mengine.
Naunga mkono wazo lako
Napenda kujifunza kutoka kwako, labda nina maswali machache....Ve
Uko sahii mkuu.
Mwaka huu nimelima heka mbili za mpunga nimepata gunia 23 za debe saba-saba. Mwakani(kunako uhai) nataka nilime heka 12 za mpunga. Inshaallah
TotallyFanya utafit kwanza ndipo utoe ushaur, japo ushaur wako ni mzur sana
Lakin tuangalie risk katika kilimo tanzania tena kilimo endelevu.
Ni kweli mazao ya chakula soko lake ni lauwakika sana
Ila swali la kujiuliza shortage ya mahid iliyopo maeneo ya mikoa ya kaskazin wakulima wa kusuni ambao wanasuplus ya mahid wataweza faidika na hali hiyo
Je nyanya za dumila, mkulima anaweza faidika na shortage ya nyanya dar.
Kisha waza mtu alie chukua mkopo bank na anatakiwa kulipa na riba, kwa hali kama hiyo ataweza.
Maana utafit unasaidia kupunguza riski, ila kuingia ktk biashara bila utafik na kuangalia flan alipata nin tena kwa kipind kifup ni hatar sana.
Ni vema kujua taarifa za zao utakalo kulilima kama sehemu ya uwekezaji wako kuanzia mazingira ya uzalishaji (inputs) kama chanzo ya maji yako kwa hali ya sasa, usafirishaji, pembe jeo na mambo mengine.
Naunga mkono wazo lako
Chakula kina soko dunia nzima Kwa mfano Kenya Comoro nchi za ulaya zinataka chakula organic Dubai pia hawana ardhi ya kutosha kulia wanategemea chakula kutoka africa. Soko ni kubwa sana ukiongeza thamani unazidi kupiga pesa.Kilimo ilikua inaonekana ni kazi za mafukara,sasa hivi kila mtu anakimbilia kulima,magu kabana biashara mjini haziendi km kipindi cha jk.watu sasa wameamua kulima tu.tatizo linakuja wakilima wengi,supply inakua kubwa,demand inashuka,bei inaenda chini.profit inakua ndogo
umesema ukweli mtupu,sema vijana wengi wamejiwekea akili ya kuajiliwa na kukwepa shughuli nyingine za maendeleo kama kilimo kwa kisingizio cha mtaji.Kuna watu wapo busy kuhangaika kutafuta ajira serikalini na mashirika binafsi, wengi hufikiri kuwa wanaweza kutoka kwa kuajiriwa, vijana wengi wanaogopa kujihusisha na kilimo aidha wanafikiri kuwa kilimo hakilipi na wajanja waliopo huko hawawambii wenzao kuwa kilimo kinalipa.
Nitoe ushuhuda kidogo mwezi wa 9 mwaka jana nimelima ekari mbili gharama haikuzidi laki 5 lakini nimeuza mahindi hayo zaidi ya milioni 3. Na bado mengine nikaacha kwa ajili ya chakula, hebu fikiria sasa ni biashara gani ya laki tano ambayo unaweza ifanya kwa mtaji wa laki tano ukapata mil 3 kwa muda wa miezi 4 kwa kifupi haipo.
Mishahara mingi ya waajiriwa wenye shahada ni 450,000/=(kwa wale wenye mikopo) na 560,000/= kama huna mkopo, sasa tufanye hesabu fupi tuchukulie uhalisia kwamba vijana wengi wamesoma kwa mkopo, 450,000 ukilipia nyumba, umeme, maji na matumizi mengineyo unajikuta haifiki tarehe kumi tano unaanza kukopa tena, lakini ukichukua 450,000×12 =5,400,000/= kwa mwaka mzima, hii pesa kwa mkulima ni msimu mmoja tena huyo ni mkulima mdogo kabisa na kwa mwaka kuna misimu miwili.
Ushauri wangu kwa vijana tujaribu kuwekeza kwenye faida yake ni kubwa lakini pia kilimo ni mradi endelevu, idadi ya watu inazidi kuongezeka hivyo mahitaji ya chakula ni mengi kuliko idadi ya watu.
Mwaka jana nimelima hekali tatu za maharagwe mkuu nikatumia mbegu zaidi ya kilo sitini lakini mavuno robo heka ikaja inverse kiasi kwamba unavuna tuta Zima haujazi mfuko wa shatiKuna watu wapo busy kuhangaika kutafuta ajira serikalini na mashirika binafsi, wengi hufikiri kuwa wanaweza kutoka kwa kuajiriwa, vijana wengi wanaogopa kujihusisha na kilimo aidha wanafikiri kuwa kilimo hakilipi na wajanja waliopo huko hawawambii wenzao kuwa kilimo kinalipa.
Nitoe ushuhuda kidogo mwezi wa 9 mwaka jana nimelima ekari mbili gharama haikuzidi laki 5 lakini nimeuza mahindi hayo zaidi ya milioni 3. Na bado mengine nikaacha kwa ajili ya chakula, hebu fikiria sasa ni biashara gani ya laki tano ambayo unaweza ifanya kwa mtaji wa laki tano ukapata mil 3 kwa muda wa miezi 4 kwa kifupi haipo.
Mishahara mingi ya waajiriwa wenye shahada ni 450,000/=(kwa wale wenye mikopo) na 560,000/= kama huna mkopo, sasa tufanye hesabu fupi tuchukulie uhalisia kwamba vijana wengi wamesoma kwa mkopo, 450,000 ukilipia nyumba, umeme, maji na matumizi mengineyo unajikuta haifiki tarehe kumi tano unaanza kukopa tena, lakini ukichukua 450,000×12 =5,400,000/= kwa mwaka mzima, hii pesa kwa mkulima ni msimu mmoja tena huyo ni mkulima mdogo kabisa na kwa mwaka kuna misimu miwili.
Ushauri wangu kwa vijana tujaribu kuwekeza kwenye faida yake ni kubwa lakini pia kilimo ni mradi endelevu, idadi ya watu inazidi kuongezeka hivyo mahitaji ya chakula ni mengi kuliko idadi ya watu.
umesema ukweli mtupu,sema vijana wengi wamejiwekea akili ya kuajiliwa na kukwepa shughuli nyingine za maendeleo kama kilimo kwa kisingizio cha mtaji.
hapohapo huyo kijana ana iphone x ya mil 1.2....muda umefika wa vijana kujitafakali upya kabisa.
Inahitaji moyo. Nimepoteza over 15m lakini sijakata Tamas nitarudi tenaMwaka jana nimelima hekali tatu za maharagwe mkuu nikatumia mbegu zaidi ya kilo sitini lakini mavuno robo heka ikaja inverse kiasi kwamba unavuna tuta Zima haujazi mfuko wa shati
Kilimo nyoko
Mada inatoa ushaur kwa mwanafunz akimaliza chuo anaweza kujiajir kwenye kilimo.
Atajiajiri vip bila kuwa na initial capital?
Usikurupuke kama ulisoma rudi kafunue upya daftar zako na pitia sehemu ambayo mwalimu wako aliweka alama ya vema kama hakuna
Unaweza kwenda qt.
Kama ulisoma mambo ya kicheketile tuuu hapo sawa maana unajifunza na kuamin kwenye maneno ya watu wakale na sio hali ya sasa
Nenda kwa balozi wako atakupa elimu ju uwezaji na biashara
mbegu za mmea gani hizo dkMbegu nilinunua Kenya zinaitwa Dk na sikumwagilia maana huku niliko lima mvua ni za uhakika.