Recent content by John Sule

  1. John Sule

    JamiiForums Tanzania Msaada practical interview ASSISTANT ICT OFFICER II

    AFISA TEHAMA MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY OFFICER II) MDAs & LGAs...
  2. John Sule

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nlichokiona niseme watoto wa kike wa chuo wanatumika vibaya sana

    😅🤣😂
  3. John Sule

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu huyu mwizi aliyepigwa Mtaani kwetu

    Umelewa...? 🤣😅😅
  4. John Sule

    JamiiForums Tanzania Kwani kazi ya Maria Sarungi Nairobi Ilikuwa ni nini? Na nani alikuwa anamlipa

    Naona kama maswali yako tayari majibu unayo...? Kukubali ujinga siyo ujinga, ni upumbavuuuu...
  5. John Sule

    JamiiForums Tanzania https://portal.ajira.go.tz/home

    Hata kama wewe unaweza unaweza nisaidia pia!
  6. John Sule

    JamiiForums Tanzania https://portal.ajira.go.tz/home

    ? ! 😎🤔
  7. John Sule

    JamiiForums Tanzania Marekani yatangaza zawadi ya bilioni 27 atakaefanikisha kumpata mdukuzi

    MAREKANI - Marekani imemfungulia mashtaka mdukuzi wa Korea Kaskazini, Rim Jong Hyok kufuatia mashambulizi ya mtandaoni ambayo yalisaidia kuiba siri za kijeshi na nyuklia ikisema zawadi ya dola milioni 10 (TZS bilioni 27) itatolewa kwa atakayetoa taarifa.
  8. John Sule

    JamiiForums Tanzania Nyaraka za Siri usiziweke kwenye ChatGPT

    Ni kweli kabisaa AI & Machine Learning inakuwa kwa kasi sanaaa, ukilinganisha na miaka ya nyuma!
  9. John Sule

    JamiiForums Tanzania Massive Twitter (X) Data Breach Exposes Over 200 Million Records

    In a significant cybersecurity incident, 9.4 GB of data from Twitter (now known as X) has been leaked online, revealing over 200 million records. This breach has raised serious concerns about data security and privacy for millions of users. The exposed data reportedly includes sensitive...
  10. John Sule

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo: Mfumo wa kujulisha na utambuzi wa vitu vilivyopotea na kupatikana katika jamii zetu

    Huyu ni mwanafunzi wa chuo akilalamika kupoteza vitu vyake!
  11. John Sule

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki uzinduzi wa Album ya Harmonize Ukumbi wa Mlimani City, leo Mei 25, 2024

    Hawezi kuimba matusi mbele ya hiyo hadhira weweee!!! Unafikiria hapo ni kule kwenu nanjilinji 🙃🙂 nchi nzima iko hapo....Rais...Spika wa bunge....na viongozi wakuu wa nchi hala Harmonize qimbe matusi??? Subutu yakeeeeee....
  12. John Sule

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki uzinduzi wa Album ya Harmonize Ukumbi wa Mlimani City, leo Mei 25, 2024

    Tunaongea kuhusu kuhudhuria event , hatuongelei personality ya mtu hapa🙌🙌🙌
  13. John Sule

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki uzinduzi wa Album ya Harmonize Ukumbi wa Mlimani City, leo Mei 25, 2024

    Utakuwa unaongea kwa jazba sanaaa! Jaribu kunywa hapo halafu uendelee kuandika🤔🤐
Back
Top Bottom