Nyaraka za Siri usiziweke kwenye ChatGPT

chatgpt inazidi kujifunza ifika mwaka 2500 itakuwa inatuongoza kwa kututumikisha.wanacho dai maroboti wote watakuwa wanafanya kazi kwa akili ambazo tumempa gpt
 
Ni kweli kabisaa AI & Machine Learning inakuwa kwa kasi sanaaa, ukilinganisha na miaka ya nyuma!
 
Back
Top Bottom