Hivi unajua kirefu cha BIKS? Nimemkumbuka Biteyamanga Masudi ndiye mwanzilishi wa hili Jina. kirefu chake ni Bukoba international kenge supply. Nadhani umenielewa vizuri. Hivi students center bado ipo? Enzi hizo Tabora girls wanaitwa warsaw (woso)
mheshimiwa taifisha na viwanja vyote vya mpira viwe vya serikali kwani vilijenngwa kwa nguvu ya Wananchi wote wakati Wa mfumo wa Chama Kimoja. iweje leo C C M ndiyo mmiliki wa viwanja vyote vya mpira ukianzia arusha, Tanga, Mwanza n.k?
Wewe uliyeuliza maana ya NATO. Ni kwamba mimi nilikuwa nasoma pale Old Moshi ambayo ndiyo Moshi sekondari kwa sasa. Ni miaka ya 1977. Nikuwa Naishi bweni la Meru block 21.MWalimu wangu wa bweni alikuwa Bakari Kaoneka. kuna siku tulienda kucheza muziki shule ya wasichana...
Mwalimu Kyala namkumbuka alikuwa second master miaka ya 1982 na walimu wengine ni Mwilu, Rutagengwa, Hinju, Maduhu, halafu nayakumbuka maziwa tulikuwa tunayanywa kila saa 4halafu tulikuwa tunayaita CHACHU maana yake yalikuwa ni machachu kweli
Mie nilimaliza hapo 1983 combination ya French . Nilikuwa Kennedy no. 10. Nakumbukia Sana maembe ya kule mawiti. Maji tulikuwa tunachota Bwawa la igombe. Nakumbukia father kalumanzira wa parokia ya makokola. Classmates ninaowakumbuka ni kama Shewere, Ben Mwangonda, Felix Lubuva...
You have to broaden your minds. If the question is being asked today then the answer is Xmas. If the question is asked immediately after Xmas then the answer is new year. John sirikwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.