Dah ndugu imenitokea mimi iyo kitu mwaka jana nilikanya ecceletor na sandle ghafla nataka kusimama si unajua auto gari ya kijinga mguu ukatoka ila sandle ikabaki na kwakua nilikua nimekanyaga kwenye kisigino basi brake nilivyokanyaga ndo nikawa nachochea mafuta nikamgusa nyuma ya canter niliumia mwenyewe lkn kesi ikaisha kibingwa sandle nomaNi kosa, na lipo kisheria kabisa. Kwa sababu wakati unakanyaga brake/ clutch au accelerator mguu unaweza ukatoka kwenye sandali na kusababisha ajali.
Ha hili ndilo kosa kubwa kwa nini sandle haziruhusiwi kuvaliwa wakati unaendesha gari.Sijui kisheria kuhusu hili ila kiusalama nadhani sio vizuri kwa sandles. Ilishanikuta sandle ilinasa bado nikashindwa kutoa mguu kuweka kwenye brake ni bahati tu
Makubazi na sio mikubanziNyie Ndio Madereva mnaoleta ajali barabarani,yaani dereva mzima haujui kuendesha gari na mikubanzi ni kosa?
Ni kweli kabisa mkuu, driving a car is a skill and not a matter of experience.Ndiyo maana kila siku mnaambiwa mkasomee sheria za barabarani siyo siku mbili umeshajua kuweka D na R unajiona umemaliza udereva ni utii wa sheria tu kwa usalama wa gari lako na wewe pia na watumiaji wengine wa barabara na siku hizi gari zenye mfumo wa Manual zimekuwa adimu ni bwerere tu
Kuwekana vizuri tuu...ni sandals wakuu, na si sandles. Haya tuendelee....Your username "John Q" is my favourite movie from D. Washington.
Ni kosa kisheria kuendesha gari na Sandles. Kama huna viatu bora uendeshe peku.
je ni nikiendesha peku nalo ni kosa?Wakuu salama za sikukuu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Nimetoka zangu gereji naingia tu. Main road hapa maeneo ya mianzini. Nikasimamishwa na traffic. Kaanza na mambo yambo yake, naomba leseni yako, nikampatia. Akanibambikia makosa yake kaanza eti naongea na simu nikalichomoa,
kubwa kuliko akaniambia naendesha nikiwa nimevaa sandles (nimevaa viatu vyisivyo na kamba ya nyuma).
kanikomalia hapo, afu hapo faini ya 30 sina.
Nikabembeleza balaa.
Jamani naomba kuuliza eti ni kosa kuendesha gari ukiwa umevaa sandles.
Wenye ujuzi wa makosa ya barabarani. Hili nalo lipo kwenye list.
Exactly, wamama pia shidabasi zanzibar watakamatwa wengi, manake huku kufunika mguu hawajui
Hajakuonea ni kosa, tena afadhali uendeshe pekupeku kuliko kuvaa kandambili.Wakuu salama za sikukuu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Nimetoka zangu gereji naingia tu. Main road hapa maeneo ya mianzini. Nikasimamishwa na traffic. Kaanza na mambo yambo yake, naomba leseni yako, nikampatia. Akanibambikia makosa yake kaanza eti naongea na simu nikalichomoa,
kubwa kuliko akaniambia naendesha nikiwa nimevaa sandles (nimevaa viatu vyisivyo na kamba ya nyuma).
kanikomalia hapo, afu hapo faini ya 30 sina.
Nikabembeleza balaa.
Jamani naomba kuuliza eti ni kosa kuendesha gari ukiwa umevaa sandles.
Wenye ujuzi wa makosa ya barabarani. Hili nalo lipo kwenye list.
Sio Sandals tu pia kuendesha gari huku umevua viatu na kuviweka chini kwenye carpet karibu na hizo pedals ni kosa maana unaweza kupata dharura unahitaji kukanyaga brake ukaki push Kiatu chini ya pedal ukashindwa kukanyaga brake na ikawa disaster!Wakuu salama za sikukuu.