Recent content by John Powese

  1. John Powese

    Serikali kuanza kusambaza dawa ya kuzuia Virusi Vya Ukimwi (HIV) aina ya Truvada

    wewe kila kitu mpaka usikie ulaya? ubongo wako umejaa makamasi mpaka ukose kujiamini na kuona huwezi kufanya lolote?
  2. John Powese

    Rick Ross in Nairobi

    Msome vizuri mwenzio ndo utaelewa naona kichwa chako kigumu! Mwenzio amesema ni first time rick ross kuja EA sasa nasisi 2memuambia kuwa alikuja tz tena akiwa bado ana hit, mwalimu alipata kazi sana kukufundisha ase
  3. John Powese

    Rais kuambatana na CDF, CJ , IGP , DG-TISS na wakuu kila tukio kunadumaza kazi zao

    Huu ni mzigo kwa kweli kwa walipa kodi, Kama Huyo wa TISS hata hapewi Airtime ila still alipo mkuu naye yupo sijui kwanini asee, Pia CDF anamfata sana JPM
  4. John Powese

    Hivi hawa jamaa wanapinga nini na kukubali nini?

    Kiukweli BAVICHA hamueleweki mnataka nini, mmemtukana sana mzee wa wetu wa msoga ooh mara mpole mara hawezi kuchukua maamuzi magumu, sasa ameingia Mr Hapa kazi tu bado mnakuja kulia lia anfanya maamuzi magumu enyi vinyonga mtaacha lini undumila kuwili wenu?
  5. John Powese

    Nikijibiwa hili swali basi nadhani nitakuwa ni mwenye furaha kubwa sana Pasaka hii

    Tanzania hakuna upinzani hata huyo unaemuamini ni mpinzani jua tu yupo kwenye payroll ya system, kugeukana kupo ila sikio haliwezi zidi kichwa
  6. John Powese

    Waziri Mwakyembe amshukia Diamond. Asema umarufu utamgharimu, hawezi bishana na Shonza na atapotea kubishana na Serikali

    Diamond nae ana moyo shonza ametaka Attention kupitia Simba sasa kilichomkuta next time ajifunze, Diamond ana nguvu nyuma anayoitegemea wamuulize Yule mfia chama Nape kilichomkuta
  7. John Powese

    IPP punguzeni udini

    Watanzania sisi sio wadini.
  8. John Powese

    Wataalamu wa umeme pitia hili pls

    Haiwezekani boss, Apo una circulate hio Energy ili uzalishe umeme ni lazima upate external source of energy hapo sana sana utapata loss tu
  9. John Powese

    Mbona Trump hajampongeza Putin kwa kushinda urais?

    Mpaka sasa ni kama Maraisi watatu tu ndio wamempongeza ila issue ya poison naona UK kalenga pazuri kusorotesha diplomacy ya Urusi na mataifa mengine kumbuka trump anamuunga Uk mkono wazi wazi juu ya katazo la matumizi ya izo poison weapons
  10. John Powese

    Diamond Platnumz ndani ya Times FM: Ukinifungia nyimbo haunipunguzii kitu nitafanya show hata nje

    Jeuri yote hii Kwa vile tu makonda yuko behind na Team ya WCB kama guardian wao, Sasa Shozi hawezi kupambana na DSM RC makonda himself japo kicheo NW yupo juu ila makonda ni top zaidi behind the scenes, Mondi asingekuwa na jeuri ya kuongea ivo ile hali soon atahitaji vibali kwa Ajili ya kulaunch...
  11. John Powese

    Mkapa: Watasema nalalamika lakini na mimi ni raia nina haki

    Mzeee huyu ni chanzo cha kuvuruika system nyingi za nchi
  12. John Powese

    Kwa mshahara huu, Mo Dewji utajiri wako unatokana na unyonyaji wa wafanyakazi wako

    Wabongo hatueleweki tunataka nini kwa kweli Rais Akisema amuamshie Dude uyo Mo Dewji ili mpate mishahara minono then mo Aka react na kufunga biashara mtakuja kupiga kelele apa kuwa anafukuza investors wanaotoa ajira, Akisema aache ili muendelee kulipwa hio hio bado mnaona mnaumizwa je mnataka...
  13. John Powese

    Uliza swali lolote kuhusu shoti za umeme ndani ya nyumba ...

    haiwezekani mkuu kwa vile conduction ya maji ni very poor sana
  14. John Powese

    Uliza swali lolote kuhusu shoti za umeme ndani ya nyumba ...

    Maji ni conductor ila ni Very poor conductor haiwezi kutokea icho unachowaza
  15. John Powese

    Uliza swali lolote kuhusu shoti za umeme ndani ya nyumba ...

    Uko sahihi mkuu ila kwa njia moja ama nyingine jamaa yuko sahihi, Kwa maana angekuwa na strong earth hio Leakage kati ya earth na live basi Asingepigwa short mana umeme ungeenda ardhini badala ya kumpiga short kumbuka ground iko at 0 potential, Solution ni ELCB yani Earth leakage circuit breaker...
Back
Top Bottom