Hivi hawa jamaa wanapinga nini na kukubali nini?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,888
143,985
Hawa vijana wa Lumumba wamefukua bandiko hili kama kujifariji.

Bandiko na hili:

Siku ambayo Kikwete anaondoka madarakani nitaiadhimisha kila mwaka

Ukisoma hilo bandiko linahusu hali ivivyokuwa si nzuri wakati wa JK mpaka nikatamani muda wake uishe aondoke madarakani.

Cha ajabu na cha kushangaza vijana hawa wanaotetea huu utawala na kusema hata wakati wa JK mambo haya yalikuwepo leo hii wanatumia uzi ule uke wa malalamiko yangu kudhibitisha kuwa leo hii hali imekuwa mbaya zaidi maana hatujapumua.

Sasa niwaulize mnapinga nini na kusimamia nini?

Je,huku si kukiri kweli kuna udiketa unaolalamikiwa ambao enzi za Jk hatukuwahu kuusikia ukitajwa?

Je,huku si kukiri matukio kama yale ya kina Ulimboka kutekwa sasa ndio yamekithiri?

Kwanini tusiamini mmekiri uovu sasa umeongezeka kuliko enzi za Jk?

Kama mnakiri hatujapumua baada ya JK kuondoka kama nilivyotarajia, sasa hawa maaskofu na mapadri wanaotoa waraka kupinga haya yanayoendelea mnawapinga kwa lipi?

Tuambieni sasa uzalendo wa huyu bwana mnaoutetea ni upi kama mnakiri enzi ya JK hali ilikuwa ni nafuu?

Hamjitambui nyinyi watu na huu ni ushahidi kuwa nyinyi ni makuhadi na waetezi wa ouvu.

Hata nyumbu wana nafuu!
 
Kiukweli BAVICHA hamueleweki mnataka nini, mmemtukana sana mzee wa wetu wa msoga ooh mara mpole mara hawezi kuchukua maamuzi magumu, sasa ameingia Mr Hapa kazi tu bado mnakuja kulia lia anfanya maamuzi magumu enyi vinyonga mtaacha lini undumila kuwili wenu?
 
Cdm achen kelele.

Sisi tutaendelea kuwatumia wanyarwanda kuwapoteza kimya kimya.
 
Kiukweli BAVICHA hamueleweki mnataka nini, mmemtukana sana mzee wa wetu wa msoga ooh mara mpole mara hawezi kuchukua maamuzi magumu, sasa ameingia Mr Hapa kazi tu bado mnakuja kulia lia anfanya maamuzi magumu enyi vinyonga mtaacha lini undumila kuwili wenu?
Wewe chadema acha porojo

Magufuli anafanya kaz ipi ya maana zaidi ya kujitafutia sifa za kijinga.
 
Kiukweli BAVICHA hamueleweki mnataka nini, mmemtukana sana mzee wa wetu wa msoga ooh mara mpole mara hawezi kuchukua maamuzi magumu, sasa ameingia Mr Hapa kazi tu bado mnakuja kulia lia anfanya maamuzi magumu enyi vinyonga mtaacha lini undumila kuwili wenu?
Hata viongozj wa kanisa na waumini sasa wanabaki wanamshangaa tu.

Hapa kazi wakati kuongeza ajira kashindwa?!

Hapa kazi wakati makampuni yanapunguza wafanyakazi kila kukicha?!

Hapa kazi wakati biashara zinafungwa?!

Hapa kazi wakati wahitumu wa vyuo wanarundikana mitaani kwa kukosa ajira?!

Bomoabomoa ya doublestandard ndio hapa kazi?

Hapa kazi huku unashindwa kuongeza mishahara ya watumishi?

Hapa kazi kwa kurubuni wanasiasa na kuingiza nchi kwenye gharama za uchaguzi?

Kukopa au kuchukua hela za walipa kodi na kununulia ndege kitu ambacho hata Jk angetaka angeweza ndio uchapa kazi?

Vitu kama vifaa vya ujenzi,sukari,n.k kupanda bei ndio matokeo chanya ya hapa kazi tu?

You must have very low IQ
 
Kiukweli BAVICHA hamueleweki mnataka nini, mmemtukana sana mzee wa wetu wa msoga ooh mara mpole mara hawezi kuchukua maamuzi magumu, sasa ameingia Mr Hapa kazi tu bado mnakuja kulia lia anfanya maamuzi magumu enyi vinyonga mtaacha lini undumila kuwili wenu?
Mwingine huyu asiyejitambua! Hivi mkiwa kwenye Gari (samahani kwa mfano huu, ila kwa akili yako labda ndio utaelewa) na dereva kavimbiwa kila Mara anajamba tuu msilalamike? Sasa yeye akishuka na kuingia mwingine ila huyu anajinyea kabisa mtanyamaza kwa vile mlimlaumu wa kwanza kujamba?
Tumia akili kijana!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom