Recent content by John kisomo

  1. J

    Noah New model na IST zinahitajika

    Kama unamiliki gari tajwa juu; IST, au noah new model, Kila moja milion sita. Iwe katika hali nzuri, 0746609032 whatsapp njoo
  2. J

    Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    +8613164621057: wakala vyuo vikuu China, kujisomesha private na kuhusu ufadhili wa masomo yani scholarship
  3. J

    Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    https://t.me/joinchat/AAAAAFLwIC49tVfYf2teUg Chanel ya telegram ya uchambuz wa vitabu
  4. J

    RIP muasisi wa MOSAD Rafael 'Rafi' Eitan

    Watu weusi wa marekani wanatumika kwenye kifungo cha ubaguzi bila wao kujijua; ni watu wa kuliaaa tuu na full chuki. Gavy aliwapa somo weusi wenzake kuwa kulalamika haisadii, tusome tumiliki biashara kubwa kila mahali tutaheshimiana, (...) ni story ndefu kidogo, mwanzo waliwini, baadae hujma...
  5. J

    RIP muasisi wa MOSAD Rafael 'Rafi' Eitan

    Upo sahihi, kipindi flani nikiwa marekani nilikuja kuona kuwa degree yenye heshima marekani ni MBA. hata ukiwakuta waarabu wanasoma huko ni MBA, kwa ufupi NI kuwa taifa ili lisonge mbele linahitaji wataalamu wa management nzuri na biashara; Taifa haliitaji madaktari au ma engeneer wengi au...
  6. J

    RIP muasisi wa MOSAD Rafael 'Rafi' Eitan

    Stuxnet worm kilikua ni kirusi hatari mnoo kuwahi kutengenezwa, hata marrkani yenyewe iliyotengeneza ilikua haijajiandaa kukabiliana nacho; kwa ufupi ingeweza sababisha hata milipuko ya vinu vya nyuklia duniani; Iran ilipopigwa kama sio kwa msaada wa warusi kuja kushtukia ingekua habari ingine...
  7. J

    RIP muasisi wa MOSAD Rafael 'Rafi' Eitan

    Sure, mfano Bibi ni mtu mwenye IQ kubwa mnoo, lakini ni mtaalamu wa masuala ya buashara na uchumi mnoo, unaambiwa ameubadikisha Israel kiuchumi mnoo na kuirudisha katika ramani, Tangu vita ya lebanon na kujiuzulu ovyo kwa mawaziri na kuongezeka ushawishi wa Iran huyu jamaa alipokamata dola...
  8. J

    RIP muasisi wa MOSAD Rafael 'Rafi' Eitan

    Bei ya promotion shilingi 1000 tuu, softcopy. Ofa ya kufurahia Tanzania kufuzu Afcon. Kwa siku tatu tuu. 0746609032 whatsapp
  9. J

    RIP muasisi wa MOSAD Rafael 'Rafi' Eitan

    Rafael 'Rafi' Eitan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 92. Huyu na wenzake wachache ndiwo waanzilishi wa jumuia ya intelijensia ya Israel, Desemba 13, 1949. Amewahi kuitumikia 'ShinBet' ambayo ni intelijensia ya ndani ya Israel mfano wa FBI ya marekani, kisha akaitumikia na kuiogoza...
  10. J

    Jifunze Utafiti (Research) kwa Kiswahili

    FREE REFERENCE MANAGEMENT SOFTWARE* Uandishi wa paper, assignment au thesis hutegemea Zaidi organized citation na reference ambazo huifanya kazi yako kuwa na uhalali na pindi unapokosea kwenye vitu hivi huifanya kazi yako kua namashaka makubwa kwenye *(plagiarism)*. Namna yakuandika maandiko...
  11. J

    Jifunze Utafiti (Research) kwa Kiswahili

    TUZIDI KUJIFUNZA *MADA NAMBA 7B: AINA YA VARIABLES NA LEVEL ZA MEASUREMENT OF SCALE* Muda mwengine varaibles hugawanywa pia kwa mujibu wa level za measurement zake. Kufahamu measurement of scale ni jambo muhimu tokea katika hatua za awali za research yako, Kwani hukuwezesha kuweza kufahmu ni...
  12. J

    Jifunze Utafiti (Research) kwa Kiswahili

    MAANA YA UTAFITI AND AINA ZA UTAFITI Wataalam wengi wametafsiri neno research/utafiri katika mirengo tofauti. Kiujuumla Research/Utafiti ni ni uchunguzi wa asili wenye mpangilio unaofanywa ili kuongeza ujuzi na uelewa kuhusu jambo au tukio. Lengo kubwa la utafiti wa aina yoyote ni kuhakiki...
  13. J

    Kwanini uteseke na Research bado?

    *MADA NUMBA 1: FREE REFERENCE MANAGEMENT SOFTWARE* Uandishi wa paper, assignment au thesis hutegemea Zaidi organized citation na reference ambazo huifanya kazi yako kuwa na uhalali na pindi unapokosea kwenye vitu hivi huifanya kazi yako kua namashaka makubwa kwenye *(plagiarism)*. Namna...
  14. J

    Toyota cami

    Nahitaji kujua uimara wa toyota cami, kwenye safari ndefu inakuaje, engine , upatikanaji wa vipuli na matumizi yake ya mafuta. Nahitaji kununua haraka
Back
Top Bottom