RIP muasisi wa MOSAD Rafael 'Rafi' Eitan

Holocaust itakuwa iliwaharibu vibaya sana kwenye fikra zao hawa watu, ndo maana huwa hawasiti wala kufikiria mara mbili kumwondoa mtu wanayeamini ni adui kwao.

Wewe fikiria mtu kila ofisi aliyokuwa anakaa lazima aweke ile picha iliyokuwa inaonyesha mzee aliyekuwa anabembeleza watu waliokuwa wanataka kumwua wamsamehe, mzee ambaye Dagan alikuwa anaamini ni babu yake, Hapo utategemea kweli awe na chembe hata ya huruma?
Moja ya unyang'au wa huyu jamaa ni kipindi kile wamewapandikizia Waajemi Stuxnet Virus. Sijui huwa wanawazaga nini hawa jamaa yani. Hivi mkuu mng'ato unaukumbuka huu umafia waliofanyiwa Iran kwenye vinu vyao vya nyuklia ?
 
Ila linapokuja suala la utaifa nadhani Wayahudi ni watu makini sana. Jamii yao iko very Meritocratic, kuna sehemu niliwahi kusoma kwamba kule Israel huwezi kupanda cheo kwa kupitia mjomba wala shangazi. Ukizungua hata uwe kiongozi wao mkubwa lazima wakuue ili uwe mfano. Kuna yule Waziri Mkuu wao Yitzak Rabbin aliyetaka kufanya makubaliono na wapalestina wakati wayahudi hawataki jamaa walimtwanga risasi akafa.

NB: Israel usipokuwa na uwezo huwezi kuwa kiongozi wa ngazi za juu hata siku moja,hasa kwenye vyombo vya usalama.
 
Huo mfumo wao unawasaidia sana, japokuwa wengi wao pia ni brilliant.
 
Lazima uwe brilliant maana bila kuwa brilliant huwezi kufika mbali kwenye jamii kama ile. Kuna kipindi waliwahi kumrekodi Richard Nixon akisema hawaamini sana Wayahudi na wanavuruga Marekani alisema "These Jews are natural born spies"
 
They are natural born spies because they live in constant fear, they feel insecure irrespective of the weapons they posses in their arsenal.
 
1553614331982.png
Bei ya promotion shilingi 1000 tuu, softcopy. Ofa ya kufurahia Tanzania kufuzu Afcon. Kwa siku tatu tuu.
0746609032 whatsapp
 
Watu Wengi husema wayahudi ni natural genius ndio maana wanaweza kushinda mambo mengi. Mimi naamini wayahudi wako well organized Kutoka kizazi Kimoja mpaka kingine. Kwa mtazamo wangu Nadhani ndio Taifa lenye watu wazalendo kwa taifa lao kuliko Taifa lingine lolote. Kuwa well organized inasaidia kurithishana ujuzi toka kizazi mpaka kizazi. Kumbuka Kuna mwandishi mmoja toka Uingereza aliwahi kuandika kuwa Christianity left Israel as one family and went to Roma Italy as religion.
Hapo tu utaelewa kuwa Jews wanaishi kama one family all over the world

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja ya unyang'au wa huyu jamaa ni kipindi kile wamewapandikizia Waajemi Stuxnet Virus. Sijui huwa wanawazaga nini hawa jamaa yani. Hivi mkuu mng'ato unaukumbuka huu umafia waliofanyiwa Iran kwenye vinu vyao vya nyuklia ?
Moja ya Kazi za Rafia Eitan ni operation BREN. Hii ilikuwa ni operation ya kumkamata na kumrudisha commando wao aitwaye ALEXANDER AVNER aliyekuwa ameasi kwa kuuza taarifa za nuclear weapons Kwa nchi Ya Misri. Alexander alikimbilia Italy. Kumsaka Komando AVNER ilikuwa hatari ana machale na mbinu Kali lakini Walikuja kumkamata nchini Ufaransa. Ilikuwa hatari tupu Mbwa Kala mbwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu Wengi husema wayahudi ni natural genius ndio maana wanaweza kushinda mambo mengi. Mimi naamini wayahudi wako well organized Kutoka kizazi Kimoja mpaka kingine. Kwa mtazamo wangu Nadhani ndio Taifa lenye watu wazalendo kwa taifa lao kuliko Taifa lingine lolote. Kuwa well organized inasaidia kurithishana ujuzi toka kizazi mpaka kizazi. Kumbuka Kuna mwandishi mmoja toka Uingereza aliwahi kuandika kuwa Christianity left Israel as one family and went to Roma Italy as religion.
Hapo tu utaelewa kuwa Jews wanaishi kama one family all over the world

Sent using Jamii Forums mobile app
Wako organised kiasi ambacho sicho cha kawaida. Mimi nimeshuhudia wayahudi wanaonana mara ya kwanza lakini baada ya wiki wanakuwa wamezoeana utafikiri wamefahamiana kwa miaka 10. Wanasaidiana na kubebana sanaa.
 
Moja ya Kazi za Rafia Eitan ni operation BREN. Hii ilikuwa ni operation ya kumkamata na kumrudisha commando wao aitwaye ALEXANDER AVNER aliyekuwa ameasi kwa kuuza taarifa za nuclear weapons Kwa nchi Ya Misri. Alexander alikimbilia Italy. Kumsaka Komando AVNER ilikuwa hatari ana machale na mbinu Kali lakini Walikuja kumkamata nchini Ufaransa. Ilikuwa hatari tupu Mbwa Kala mbwa

Sent using Jamii Forums mobile app
MOSSAD hii michezo ya kuteka na kuua watu nje ya mipaka yao wanaipenda sana. Kuna yule mwanasayansi wao anaitwa Mordechai Vanunu aliyetoa siri kwa Waingereza kwamba Israeli inamilikia silaha za kinyuklia. Walimdakia huko Italia na kumrudisha Israel kushitakiwa.

Ila MOSSAD pamoja na janja yao yote walikoma kwa majasusi wa kichina kule Congo DRC, kipindi cha vita baridi. Kuna kitabu niliwahi kukolisoma kinasema "The Israelis and Chinese entered into a bitter struggle for control of interests in the Congo" Nasikia walikuwa wanauwana sana sanaa.
 
Hawa jamaa pamoja na mabalaa yote kwenye hizo Mission zap za Kijasusi kweli kweli lakini bado wana Guts za ku share details za hizo Ops..

Sijui wanajiamini nini? Huku kwetu sijui kama tunaweza hii, I'm just thinking.
MOSSAD wako vizuri lakini nadhani sehemu nyingine wanazidisha na kufanya propaganda ili kutishia watu hasa maadui zao (Psychological Warfare). Warusi na Wamarekani walikuwa wanatumia sana hii mbinu kipindi cha vita baridi. Mashirika ya kijasusi yakitoa taarifa usiziamini sana, nyingi huwa zimechakachuliwa au siyo za kweli.

Binafsi naamini CIA na MI6 zina mikono mirefu sana kuliko MOSSAD: Hata leo hii ukiwatoa CIA na MI6 sidhani kama Israeli inaweza kuwa salama hata kidogo. Edward Snowden anasema taarifa zote kutoka NSA vyombo vya ujasusi vya Israel hupewa bure bila kuchujwa.

Mfano mzuri kabisa, mikakati dhidi ya Iran nchi ya Israeli haiwezi kufanikisha yenyewe peke yake mpaka Marekani na Uingereza, kama angekuwa anaweza basi angekuwa keshamtwanga Iran mapema sana lakini huo uwezo hana.

Meir Dagan baada ya kustaafu alipohojiwa kuhusu Israel kuvamia Iran alisema "Iran is a big for Israel to fry alone" Akashauri kabisa Israel isijidanganye kuvamia Iran, madhara kwake yatakuwa makubwa sana.

CC: chige
 
Back
Top Bottom