Jifunze Utafiti (Research) kwa Kiswahili

John kisomo

Member
Jan 21, 2019
22
39
MAANA YA UTAFITI AND AINA ZA UTAFITI
Wataalam wengi wametafsiri neno research/utafiri katika mirengo tofauti. Kiujuumla Research/Utafiti ni ni uchunguzi wa asili wenye mpangilio unaofanywa ili kuongeza ujuzi na uelewa kuhusu jambo au tukio. Lengo kubwa la utafiti wa aina yoyote ni kuhakiki ukweli wa mambo, kutoa matazamo mpya kuhusu suala linalosibu jamii na kuvumbua vifaa vipya na utaratibu mpya katika kufanyia jambo husika na kutatua matatizo yanayoikabili jamii.

*Aina za Tafiti(Types of Research)*: Utafiti hugawika katika matapo mbalimbali kwa kutegemea madhumuni na maksudi ya utafiti:-

*1.Utafiti wakimakusudi*

*a.Utafiti wa Kimsingi (Basic Research)*:
Hii ni aina ya utafiti ambao hutumiwa kujaliza ufahamu ambao jamii au mtafiti hana kuhusu swala fulani katika jamii.Utafiti huu hutumiwa katika kujaribu kujifunza mambo au vitu ambavyo kwa kawaida havikai kuwa wazi au havionyeshi umuhimu wake mara moja.

*b.Utafiti Tumikizi (Applied Research)*: Utafiti tumikizi hutafiti kuhusu swala maalum na kutambua ikiwa nadharia fulani inatimiza matakwa yake au la. Hivyo basi utafiti tumikizi hutumiwa data moja kwa moja ili kutoa suluhisho kuhusu tatizo lililopo wakati uo huo.

*c.Utafiti Kiutendaji (Action Research)*:
Ni aina ya utafiti ambao kwamba hufanywa na wale ambao wana nia na lengo la kuchukua hatua katika kusuluhisha jambo fulani katika jamii. Jambo au tatizo hili huwa lile ambalo limeibuka na limeikumba jamii wakati maalum na utatuzi wake huhitajika papo kwa papo wala si wakati mwingine.

*d.Utafiti wa Kutathmini (Evaluation Research)*:
Utafiti wa aina hii hufanywa kwa lengo la kuthibitisha iwapo yaliyotarajiwa ndiyo yaliyotimia. Hivyo basi, utafiti huu huwa wa utaratibu fulani wa kukusanya data kisha kuichanganua data hiyo. Kwa mfano, utafiti wa aina hii unaweza kufanywa kuthibitisha kama mpango wa elimu ya bure umefaulu au la.

*2. Uainishaji kwa kutumia mbinu za uchanganuzi*

*a.Utafiti wa kueleza (Descriptive Research)*:
Ni aina ya utafiti ambao unakusanya data ambayo data hiyo itauwezesha utafiti huo kufanya majaribio au kuyajibu maswali yanayohusu mada ya utafiti wakati ule. Huu ni utafiti ambao hueleza jinsi mambo yalivyo.

*b.Utafiti Linganishi (Casual – Comparative Research)*:
Huu ni utafiti ambao hutumiwa katikaulinganishaji wa vigeu ukiwa na nia au lengo la kutaka kuonyesha sababu za jambo au hali kuwa jinsi ilivyo.

*c.Utafiti Wiani (Correlation Research)*: Kwa ujumla, utafiti wiani ni utafiti ambao unavigeu viwiliau zaidi kutoka katikasampuli moja. Hivyo basi mtafiti huwa kwake anajaribu kutafiti iwapoupo uhusiano mabadiliko katika vigeu hivyo.

*3.Uainishaji Kulingana na Aina za Utafiti.*

*a.Utafiti wa Kukagua (Survey Research)*:
Hii ni aina ya utafiti ambapo mtafiti hukusanya data kutoka kwa makundi husika na ili kutambua haliyake kwa wakati ule kwamujibi wa kigeu kimoja au zaidi.

*b.Utafiti wa kihistoria (Historical research)*:
Huu utafiti unahusu usomi unaohitajika katika kukusanya ujumbe/taarifa kutoka wakati uliopita. Mtafiti hutafuta data ambayo tayari ipo.

*c.Utafiti wa Uchunzaji (Observation Research)*: Kwenye utafiti wa aina hii, jambo linachunguzwa kwa kuliangalia tu. Utafiti huu hutoa taarifa ambayo haina hisia za kibinafsi kwa sababu mtafiti huchunuguzana kuangalia hali katika mazingira yake halisi au ya kawaida.

*d.Utafiti wa majaribio (Experimental Research)*:
Aina hii ya utafiti hufanyika kwa kuhusisha vitu, wanyama au binaadam kwa kuchunguza tatizo katika chumba maalum(maabara). Miongoni mwa lengo la utafiti huu nikuangalia casual effect baina ya variables.

Kwa maelezo ya ziada unaweza kutembelea:
>
>
>
>

Masomo mengine; uzi #6 na Uzi # 7.
muda ummenda na unashindwa kufanya kumaliza Research yako kwa wakati?.au muandika andiko? Uwe bachelor, masters su PHD, njoo uhudumiwr na team ya ma docta.(phd holders) njoo tujifunze zaidi, kwa kina. Pia kukuongoza kuandika utafiti wako,
 
1553439675502.png
 
ZsZss
*MADA NAMBA 6: MAANA YA UTAFITI AND AINA ZA UTAFITI*

Wataalam wengi wametafsiri neno research/utafiri katika mirengo tofauti. Kiujuumla Research/Utafiti ni ni uchunguzi wa asili wenye mpangilio unaofanywa ili kuongeza ujuzi na uelewa kuhusu jambo au tukio. Lengo kubwa la utafiti wa aina yoyote ni kuhakiki ukweli wa mambo, kutoa matazamo mpya kuhusu suala linalosibu jamii na kuvumbua vifaa vipya na utaratibu mpya katika kufanyia jambo husika na kutatua matatizo yanayoikabili jamii.

*Aina za Tafiti(Types of Research)*: Utafiti hugawika katika matapo mbalimbali kwa kutegemea madhumuni na maksudi ya utafiti:-

*1.Utafiti wakimakusudi*

*a.Utafiti wa Kimsingi (Basic Research)*: Hii ni aina ya utafiti ambao hutumiwa kujaliza ufahamu ambao jamii au mtafiti hana kuhusu swala fulani katika jamii.Utafiti huu hutumiwa katika kujaribu kujifunza mambo au vitu ambavyo kwa kawaida havikai kuwa wazi au havionyeshi umuhimu wake mara moja.

*b.Utafiti Tumikizi (Applied Research)*: Utafiti tumikizi hutafiti kuhusu swala maalum na kutambua ikiwa nadharia fulani inatimiza matakwa yake au la. Hivyo basi utafiti tumikizi hutumiwa data moja kwa moja ili kutoa suluhisho kuhusu tatizo lililopo wakati uo huo.

*c.Utafiti Kiutendaji (Action Research)*: Ni aina ya utafiti ambao kwamba hufanywa na wale ambao wana nia na lengo la kuchukua hatua katika kusuluhisha jambo fulani katika jamii. Jambo au tatizo hili huwa lile ambalo limeibuka na limeikumba jamii wakati maalum na utatuzi wake huhitajika papo kwa papo wala si wakati mwingine.

*d.Utafiti wa Kutathmini (Evaluation Research)*: Utafiti wa aina hii hufanywa kwa lengo la kuthibitisha iwapo yaliyotarajiwa ndiyo yaliyotimia. Hivyo basi, utafiti huu huwa wa utaratibu fulani wa kukusanya data kisha kuichanganua data hiyo. Kwa mfano, utafiti wa aina hii unaweza kufanywa kuthibitisha kama mpango wa elimu ya bure umefaulu au la.

*2.Uainishaji kwa kutumia mbinu za uchanganuzi*

*a.Utafiti wa kueleza (Descriptive Research)*: Ni aina ya utafiti ambao unakusanya data ambayo data hiyo itauwezesha utafiti huo kufanya majaribio au kuyajibu maswali yanayohusu mada ya utafiti wakati ule. Huu ni utafiti ambao hueleza jinsi mambo yalivyo.

*b.Utafiti Linganishi (Casual – Comparative Research)*: Huu ni utafiti ambao hutumiwa katikaulinganishaji wa vigeu ukiwa na nia au lengo la kutaka kuonyesha sababu za jambo au hali kuwa jinsi ilivyo.

*c.Utafiti Wiani (Correlation Research)*: Kwa ujumla, utafiti wiani ni utafiti ambao unavigeu viwiliau zaidi kutoka katikasampuli moja. Hivyo basi mtafiti huwa kwake anajaribu kutafiti iwapoupo uhusiano mabadiliko katika vigeu hivyo.

*3.Uainishaji Kulingana na Aina za Utafiti.*

*a.Utafiti wa Kukagua (Survey Research)*: Hii ni aina ya utafiti ambapo mtafiti hukusanya data kutoka kwa makundi husika na ili kutambua haliyake kwa wakati ule kwamujibi wa kigeu kimoja au zaidi.

*b.Utafiti wa kihistoria (Historical research)*: Huu utafiti unahusu usomi unaohitajika katika kukusanya ujumbe/taarifa kutoka wakati uliopita. Mtafiti hutafuta data ambayo tayari ipo.

*c.Utafiti wa Uchunzaji (Observation Research)*: Kwenye utafiti wa aina hii, jambo linachunguzwa kwa kuliangalia tu. Utafiti huu hutoa taarifa ambayo haina hisia za kibinafsi kwa sababu mtafiti huchunuguzana kuangalia hali katika mazingira yake halisi au ya kawaida.

*d.Utafiti wa majaribio (Experimental Research)*: Aina hii ya utafiti hufanyika kwa kuhusisha vitu, wanyama au binaadam kwa kuchunguza tatizo katika chumba maalum(maabara). Miongoni mwa lengo la utafiti huu nikuangalia casual effect baina ya variables.

Kwa maelezo ya ziada unaweza kutembelea:
>
>
>
>
Ackno
njoo tujifunze zaidi, kwa kina. Pia kukuongoza kuandika utafiti wako,
Sasa sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TUZIDI KUJIFUNZA
*MADA NAMBA 7B: AINA YA VARIABLES NA LEVEL ZA MEASUREMENT OF SCALE*

Muda mwengine varaibles hugawanywa pia kwa mujibu wa level za measurement zake. Kufahamu measurement of scale ni jambo muhimu tokea katika hatua za awali za research yako, Kwani hukuwezesha kuweza kufahmu ni techniques ipi ya analysis utaweza kuitumia kwa mujibu wa aina ya variable zako na pia kukuwezesha kudesign questionnaire yakevizur.
Japo analysis ni hatua ya mwisho katika research ila pia hutegemea na hatua za awali za study yako.

*Aina za Measurement of Scale*: Kuna makundi mawili makubwa ya measurement of scale ambapo ndani yake zipo aina tofauti:

*1. Nonmetric Measurement of Scale*: Non-metric or categorical scales, ni aina za scale amabzo their response values are not directly usable as a numerical value.

Katika gurupu hili tunazo aina mbili kuu za Non metric or categorical scale zinazotumika katika research:

*A.Nominal Scale*: Ni aina ya measurement ambayo hutumia zaidi jina na lebel katika kuidetify objects. Katika aina hii number zinaweza kutumia kuidentify kitu lakini hazitakua na maana yoyote kihesabu.

Kwa mfano katika dodoso/questionnnaire mtu anaweza kutumia number kuidentify gender ambao watajibu masuali mfano 1-Male 2-female. Kwahivo number hizi hazitokua na maana yoyote kihesabu katika mfano huu (mf. Huwezi kutafuta average ya gender walioshiriki katika tafiti yako). Mara nyingi Nominal scal hutumika katika demographic attributes mf. Sex, religious, occupation, potical affiliation n.k)

[ Mathmatical symbols: = (two value are Same) or ≠ (two values are not same)]

*B.Ordinal Scale*: Hii ni level ya pili ya measurement of scale ambayo ina sifa ya level ya kwanza (nominal) + kuidentify variables au data zenye sifa ya order au ranked. Number zinaweza kutumika kugawanya ranks na position za object lakini hazitakua na quantitative value yoyote.

Mara nyingi huitumia level hii kwa variables zenye level za rank mfano Linkert scale 1-5 mfano kupima level ya satisfaction (1-Very satisfied, 2-Satisfied, 3-Neither satisfied not satisfied, 4-Less satisfied, 5-Not all satisfied).

[ Mathmatical symbols: = (two value are Same) or ≠ (two values are not same), > greater than, < lesss than]

*2. Metric Measurement of Scale*: A metric scale huwa ina measures quantitative characteristics or variables. Katika gurupu hili tunazo aina mbili kuu za metric or quantitative scale zinazotumika katika research:

*C.Interval Scale*: Hii ni level ya tatu ya measurement of scale ambayo inasifa ya level yakwanza na yapili na interval baina ya values zinakua experessed in a fixed unit of measures. Level hii inapermit mathematical operations kuweza kufanyika kwa urahisi na pia kuweza kutafuta difference baina ya attribute mbili.

[ Mathmatical symbols: = (two value are Same) or ≠ (two values are not same), > greater than, < lesss than, - minus, + plus]

*D.Ration Scale*: Hii ni level ya mwisho ya measurement of scale amabyo ina sifa ya level 1, 2 na 3 + an absolute zero point. Ain azote za hesabu zinaweza kufanyika katika level hii ya measurement. Zinaweza kutumika katika variable zenye sifa ya kuinclude absolute value kama vile distance, height, weight, time, etc.

[ Mathmatical symbols: = (two value are Same) or ≠ (two values are not same), > greater than, < lesss than, - minus, + plus, x-multiplication, ÷devision].

Kwa maelezo ya Ziada tembelea:
>Books: Anderson at al, 2015 (p.7), Hair at al,2009 (p.3)
>
>
>
>
njoo tujifunze na kukusaidia kuandika tafiti na maandiko
 
FREE REFERENCE MANAGEMENT SOFTWARE*

Uandishi wa paper, assignment au thesis hutegemea Zaidi organized citation na reference ambazo huifanya kazi yako kuwa na uhalali na pindi unapokosea kwenye vitu hivi huifanya kazi yako kua namashaka makubwa kwenye *(plagiarism)*.

Namna yakuandika maandiko hotofautiana kwa style na quality ila bado maandiko mazuri yatabaki kuwa supported na citations na reliable reference.

Kwenye referrence, academician wengi hutumia software ambazo ni reference manager ambazo hurahisisha kazi wakati wa uandishi wako. Zipo reference manager nyingi ambazo zinatumika ila reference manager tunazipendekeza ni hizi tatu (4) kwasababu ni rahisi kuzitumia na nifree of charge. Hizi ni resources ambazo hazitakuhitaji a penny kuweza kuzitumia;

*1.Mendeley Desktop*, hii ni rahisi kuitumia hasa kwa mtu ambaye anaanza kwenye uandishi, hailipiwi unaeza kuidownoload na kuinstall kwenye pc yko tu na pia ni user frendly kwa user wa mara ya kwanza (Kwa ziada unaeza tembelea: )
*2.Endnote (X6, X7,X8,X9)*, hii pia nimaarufu na inavitu vingi ndani yake. Kwa mtumiaji wa mara ya kwanza hashauriwi kutumia hii itamsumbua kidogo ila ni best reference manager ambayo inatumika duniani (Kwa ziada unaeza tembelea: EndNoteTraining)
*3.Zotero*, Zotero ni mingoni mwa softaware maarufu duniani na ambazo ina additional features za kueza kushare na kucreate groups hasa kwa wale ambao wanafanya kazi za pamoja. Ina features kama vile DROPBOX (Kwa ziada unaeza tembelea: ).
*4.CiteULike*, Hii pia ni aina ya reference manager ambazo inafanya kazi kama nyengine na ambayo ni free (Kwa ziada unaeza tembelea: )

Faida ya Reference manager hizi, nikukuwezesha kugenerate list ya reference zote ambazo umezicite ndani ya kazi yako bila yakua na hofu yakusahau baadhi au kueka pembeni kila reference unatoitunatoitumia, pia hundoa mashaka na kazi kwa muandishi, pia hizi reference manager zitaweza kuihifadhi kazi yako kwenye clouds na pindipo computer itaharibika, kupotea au kuibiwa itakukuwezesha kuzidownload kazi zako kwenye conputer nyengine(muhimu ni lazima uwe na account ambayo ulifungulia). Ziada ya hayo hukuwezesha kusoma PDF kwa urahisi (mf.kuandika note ndani yake, ku bold kwa wino n.k), Pia hukuwezesha kushare documents, references kwa urahisi kuenda kwa mutumiaji mwengine.

Nimuhimu sana tunapoandika tuandike kwa uweledi na kazi zetu ziwe bora kwa kufuata academic principles kwa yeyote (PhD au MBA). Tuepuke Kucopy bila ya citation and *kuparaphrase* kile tulichokichukua kwa mwengine. Kwani impact yake ni kubwa kama sio leo siku zijazo.
Wewe ni masters au PHD student na research inakusumbua? Njoo kwa maguru tukusaidie.
Dondoka inbox
 
Back
Top Bottom