Recent content by John Ediwely

  1. J

    JamiiForums Tanzania Watu wote mliojiua nikawasema vibaya naomba mnisamehe sana

    Mkuu jipe moyo haya yote ni mapito,muombe sana mungu atakuondolea hii hali inayokukabili kwa maana kwake hakuna linaloshondikana.Jipe mda hta mwezi mmoja kabla hujafanya hayo maamuzi magumu mkuu tafadhali sanaaa! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. J

    JamiiForums Tanzania Bei ya sukari yaanza kupaa na bei ya unga yazidi kuongezeka

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kazi ipoooo Sent using Jamii Forums mobile app
  3. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufanikiwa katika maisha

    Hicho kidhungu mi cjasoma fedha boys umeniacha solemba... Sent using Jamii Forums mobile app
  4. J

    JamiiForums Tanzania Almanusura nimtoe roho Bosi wangu leo kwa kipigo kizito ofisini

    [emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta company ya mkaka ambayo italeta mahusiano serious

    Mwenye elimu angalau ya chuo....hta veta ni chuo,madrasa pia ni chuo..wasomi butu mnashida sana nyie[emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ulichowahi kujuta kukinunua?

    Ulitoka manundu eeeeeh Sent using Jamii Forums mobile app
  7. J

    JamiiForums Tanzania Singida: Madaktari vijana watuhumiwa kuwatongoza wagonjwa wasichana na wanawake

    Asa kwani shida ipo wapi,hajabakwa mtu bali wameridhiana na isitoshe wote ni watu wazima hakuna under 18 sion shida hapo... Sent using Jamii Forums mobile app
  8. J

    JamiiForums Tanzania Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Mganga wa Kienyeji afungwa jela maisha kwa kulawiti mtoto wa miaka 8

    Alishindwa nn asa huyo mtaalamu kuroga ktk kesi ili asiangukie jumba bovu? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu umri wa Bwana Kangi Lugola

    Huyu mkemia c ndo yule aliwahi kuvunja dirisha la shule ya seminari na hatimae kufukuzwa shule kwa utovu wa nidhamu?? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama umeoa au unaishi na mwanamke uliyekutana naye kwenye mazingira haya basi andika maumivu sana

    Ndo ramli yako imekuelekeza hivyo mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. J

    JamiiForums Tanzania Uraibu wa michezo ya kubahatisha unanipa umasikini, nijitoe vipi?

    Hii ngoma haitaji hasira mkuu[emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  13. J

    JamiiForums Tanzania Uraibu wa michezo ya kubahatisha unanipa umasikini, nijitoe vipi?

    Pole mkuu...kubeti inategemeana una beti kistarehe au kwa ajili ya kutafta pesa? Punguza kiwango cha kubeti lipia mkeka kwa waleti ambapo kuanzia jero una beti means ukiwa na buku mbili siku nne zote kwa buku mbili hii n kwa starehe zaidi sio kutafta pesa!!! Na Kama una beti kwa lengo la kutafta...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri na ombi kwa Wizara ya Ulinzi na Usalama

    Kakojoe ulale mkuu make huko uliko ingia siko kabisaa!!!
  15. J

    JamiiForums Tanzania Nikiri wazi: Namfahamu shetani

    Mshana mbn unatutisha tena mkuu!!
Back
Top Bottom