Recent content by John Brennan

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi Bandarini afariki ktk Mazingira tata, Uongozi WA juu TPA wahusishwa!

    Samahani. Naomba kuweka rekord sawa. Senior Officer ni Afisa Mwandamizi na Principal Officer ni Afisa Mkuu. Hapo bosi ni Afisa Mkuu yaani Principal. Officer. Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
  2. J

    JamiiForums Tanzania Posho kwa wajumbe wa katiba mpya ni sh.300,000/= tu

    Posho ya 300000 inajumuisha Night Allowance kwa viwango vya Serikali ya 80000, sitting allowance ya 150000 na posho ya usafiri na mengineyo 70000. Hakuna chakula cha bure, wala kulala bure pia hakuna usafiri wa bure. Posho hiyo ya 300000 itategemea mahudhurio ya Mbunge husika kikaoni. Kama...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kikwete kavunja katiba??

    Kuna vyeo vya kikatiba na visivyo vya kikatibam vyeo vya Kikatiba kwa mujibu wa Katiba ya JMT ya 1977 ni kama Urais wa JMT, Makamu wa Rais, PM, Mawaziri, AG, DAG,DPP, CAG, Makamishna wa Tume ya Haki za Binadamu etc. Vyeo visivyo vya kikatiba mojawapo ni kama uIGP, uCDF etc. Vyeo hivi visivyo vya...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kikwete kavunja katiba??

    Kwa mujibu wa Katiba ya JMT Rais ana mamlaka ya kuanzisha au kufuta ofisi yoyote katika Serikali. Hivyo hajavunja Katiba. Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kamishna Ernest Mangu ateuliwa kuwa IGP mpya

    Kuna tofauti kubwa kati ya intelligence na investigation. Intelligence kwa maneno machache ni utaratibu wa kukusanya taarifa mara nyingi kwa njia ya siri na kuzifanyia analysis ili kupata usahihi wa taarifa hizo. Katika muktadha huo, Directorate ya Criminal Intelligence ina wajibu wa kukusanya...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Picha: Mrembo wa Kitanzania aliyekamatwa na heroin China

    Capital punishment in Macau was abolished in 1976. Under the principle of independence of legal system in Macau Basic Law, Macau continues its repudiation of capital punishment after the handover to People's Republic of China in 1999 despite the fact that capital punishment is practised in...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Capital Punishment in Macau

    Capital punishment in Macau was abolished in 1976. Under the principle of independence of legal system in Macau Basic Law, Macau continues its repudiation of capital punishment after the handover to People's Republic of China in 1999 despite the fact that capital punishment is practised in...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Majina ya Wachezaji Hawa Ni Burudani Tosha

    Madundo Mtambo siku hizi ni Profesa pale SUA. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  9. J

    JamiiForums Tanzania Polisi Dar wamvamia Mbowe usiku wa manane

    Shombo tu za Chama cha domokaya na maaendeleo. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  10. J

    JamiiForums Tanzania CCM wanagawa kombati za Chadema kwa green guard muda huu...

    Shombo tupu. Vyama vya siasa fanyeni siasa sio shombo. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  11. J

    JamiiForums Tanzania CCM hakiko kwenye orodha ya vyama vilivyo sajuliwa kwa msajili

    Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  12. J

    JamiiForums Tanzania CCM hakiko kwenye orodha ya vyama vilivyo sajuliwa kwa msajili

    Uzushi mtaacha lini jamani. Haya nimeattach orodha ya vyama vya siasa iliyotolewa mwaka 2007 na Msajili wa Vyama vya Siasa. Tuache upotoshaji. Jamiiforums ni mahali pa watu wenye akili kujadili mambo ya maana na si kila shombo. No Research No Right to Speak. Sent from my BlackBerry 9900 using...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nimeota ndoto nipo 6x6 na mama ambaye ni jirani yetu na namheshimu nifanye nini?

    Hadithi ya huyu Shamasha anayejiita Jemedari inanikumbusha Shamasha mmoja mtaani kwetu ambaye alimtokea mama mmoja kisa kila akimwamkia mama yule alikuwa anaitikia marahaba mpenzi. Jamaa akajua mama kamzimikia. Akatupa ndoano akatupwa vibaya mno na kuambulia fedheha. Sent from my BlackBerry...
  14. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Hatutashiriki Kongamano la Amani la TCD, limefadhiliwa na CCM!

    Kudos Chadoma. Sasa ili kuendeleza mapambano tususie na ruzuku inayotolewa na Serikali kwa kuwa imekuwa haitaki amani. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  15. J

    JamiiForums Tanzania Aliyeuawa kwa risasi Arusha alikua jambazi sugu-kamanda Liberatus Sabas!!

    Kwa hiyo mlitaka polisi wamwagie maua na kumwita Igweeee. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Back
Top Bottom