Recent content by Johalem

  1. Johalem

    Kozi ya Architecture kwa ngazi ya Diploma au Certificate

    Habari wana JF. Naomba kujua vyuo vinavyofundisha kozi ya usanifu wa majengo (Architecture) kwa ngazi ya Diploma au Certificate. Natanguliza shukrani.
  2. Johalem

    Tanzania Labour Law (Sheria ya Kazi Tanzania)

    Habari za majukumu wakuu. Naomba msaada juu ya haya. 1. Inakuaje kama una mkataba wa ajira, halafu baada ya siku kadhaa, mwajiri akakuongezea majukumu yaliyo nje ya makubaliano/mkataba na akakutaka kuyafanya majukumu hayo kwa lazima hata kama sio professional yako. 2. Na vipi kuhusu kulipwa...
  3. Johalem

    Ubora wa UDSM ni upi?

    H. E. Gen Yower, Kaguta M7 Laurent D. Kabira John Garang
  4. Johalem

    Ubora wa UDSM ni upi?

    Kwa akili yako ndogo huwezi hata kufikiria kama school of health Science imeanzishwa mwaka huu, na prospectus yenye school of healthy science ni mwaka huu. Alafu inakubidi utambue kwamba UDSM ni institution kubwa ambayo inaajiri, kwa hyo kama kaajiriwa kwa uboya wako unaona ni shida!! Jielewe we...
  5. Johalem

    Ubora wa UDSM ni upi?

    Usiseme mambo usiyoyafaham, udsm in Walimu wa kutosha hyo Human anatomy and physiology wapo wakuifundisha hadi surplus. CONAS imeanzishwa miaka mingi tu.. Inafundishwa human anatomy and physiology, hata physical education iliyoanzishwa mwaka 1992 pia ina walimu wenye uwezo wa hali ya juu wa...
  6. Johalem

    Prof. Lipumba: Uhaba wa sukari umesababishwa na Rais Magufuli

    Dah! Kweli tuache ushabiki wa ajabu, Mhe. Rais alisema sukari imepitiwa na muda(expired) na kwamba inasababisha magonjwa ya ajabu kwa watanzania, halafu badae akatangaza sukari hyohyo anawapatia wananchi bure. THINK BIG. Rais ni binadamu km sis yeye pia anakosea, anapokosea asikilize ushauri...
  7. Johalem

    Uendeshaji wa Kesi ya kosa la jinai dhidi ya Jamhuri

    Nashukuru sana mkuu nimekuelewa vizuri, maelezo yako ni sawa na ya wakili mmoja ambaye mwanzoni alikua anaisimamia hiyo kesi..
  8. Johalem

    Uendeshaji wa Kesi ya kosa la jinai dhidi ya Jamhuri

    Asanteni sana wakuu nimewaelewa sana...
  9. Johalem

    Kusomea Sekondari (A-Level) nchini Uganda

    Hiyo kwel.. wana prefer 1 division...
  10. Johalem

    Kusomea Sekondari (A-Level) nchini Uganda

    Kweli wadogo zetu wanajisahau sana....
  11. Johalem

    Kusomea Sekondari (A-Level) nchini Uganda

    St. Lawrence schools (Paris paris, cleamland, crown city, London college) ni shule za starehe zile... performance yao hua ni ya kawaida sana... labda kama wamebadilika shule zile kongwe ndo hatari Kings college Buddo na nyingine km hzo...
  12. Johalem

    Kusomea Sekondari (A-Level) nchini Uganda

    Dah! hapo mmenikumbusha mambo mengi sana... hongereni sana kama mlimalza shule salama! make kuna wengine walishindwa kumaliza shule kwa kujiusisha na mambo yasiyo ya msingi...!
  13. Johalem

    Kusomea Sekondari (A-Level) nchini Uganda

    Ofcoz swala la club na hata stareh nyingne zpo sana ila mara nyingi wanafaid wanafunz wa day ila boarding ni pagum sana pia swala la shule za wakiso ni nzuri nyingi ila kwa majengo na zipo ambazo ni nzuri kwa masomo pia!
  14. Johalem

    Kusomea Sekondari (A-Level) nchini Uganda

    Nimeipenda hyo.... Rolex na kikomandoo
Back
Top Bottom