Hahahaa hakuna kitu kinaitwa kuchelewa ktk maisha ukiwa mwanaume, kuna sababu ya msingi kwa nini unaweza kupata watoto hata ukiwa na miaka zaidi ya 70.
Marehemu Mzee Reginald Mengi alipata watoto wa mwisho mapacha akiwa na miaka 70 mwaka 2012 na K-Lyn aliyekuwa na miaka 34. Mwanaume focus yako...
Timerlane nakubaliana na wewe. Kinachoigharimu Arsenal kwa sasa ni hofu ya kisakolojia ya kushinda makombe, ubora wa Arsenal ndani ya hii misimu 3 ni mkubwa mno. Mshambuliaji wa kati pekee hatoshi kubadili psychological fear.
Confidence huja hata kwa kubeba vikombe vidogo vidogo kama FA na...
Sio kweli, sentimita 100 (mita 1) = sentimita 90 (futi 3)? Mita 1 = futi 3.3
Hiyo futi 48 kwa futi 54 ukigawa kwa futi 3.3 itakuja mita 14.5 kwa mita 16.4
Endapo ukifanya hesabu jinsi ulivyofanya wewe kuna ongezeko la mita 1.5 kwa mita 1.6
Mwanamke ana uwezo wa kuua ndoto ya mwanaume. Hujawahi kuona wachezaji au makocha wanakataa kwenda kufanya kazi na baadhi ya timu kisa wake zao hawaipendi miji zilizoko hizo timu?
Mimi juzi kuna mtu kanitumia kadi ya mdogo wake wa kike send off. Binafsi hii michango huwa sichangii. Ugonjwa, misiba au mtaji wa biashara pekee ndiko ninakotoa pesa.
Uliyempa -2 ashinde kwa tofauti ya goli 3 mfano 3(-2)-0 au 4(-2)-1, wakati huyo wa +2 ashinde au sare ila asifungwe zaidi ya goli 1 mfano 1-0(+2), 2-1(+2).
Hasi maana yake mbabe katanguliwa kabla mchezo haujaanza lazima ashinde zaidi ya hizo goli. Chanya umemtanguliza kibonde asifungwe zaidi ya...
Benfica vs Vitoria Guimares - Over 2.5 goals @1.60
Benfica wamecheza mechi 6 za ligi nyumbani msimu huu na kufunga goli 22, wastani wa goli 3.6 ktk kila mchezo.
Mechi 5 kati ya 6 walifunga zaidi ya goli 4, walishinda 4-1 vs. Porto, 5-0 vs. Rio Ave, 5-1 vs. Gil Vicente, na 4-1 vs. Santa Clara...
Hii option inayotoa nafasi ya kuleta uwiano wa mchezo kwa kuruhusu timu mojawapo ifungwe au iongoze kabla mchezo haujaanza. Technically, ufanyaji kazi wake unafanana na double chance ila unakupa option to move the line to the best odds as possible.
Mfano wa handicap; mchezo wa jana kati L'pool...
Huwa unaangalia taarifa rasmi za timu kuelekea mchezo husika? Majeruhi, morali au nani kasimamishwa? Huwa vinaathiri sana matokeo ya mchezo. Stuttgart leo wachezaji 6 wa kikosi cha kwanza hawakusafiri na timu Undav, Lewing, Al-Dakhil wote hawa hawakuwepo hata kiungo wao mkabaji Stiller alicheza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.