Nauza kiwanja changu hakina udalali

Nauza kiwanja changu hakina udalali

Sio kweli mbagala to posta muogope Mungu jmn kah! Izo ni fitna za wazi wazi hakyamungu..... bodaboda ni 1500 stend ad kwa puga bajaji ndo iyo 700 hapana we kaka umeweza 🙌🏽🙄
Kwa puga sijawah kufika nisiwe muongo. Lakin sehem ya bajaj 700 sio mbali mkuu
 
Iwapo mita 1= futi 3

Je, futi 48 kwa 54 ni mita ngapi?

Ukichukua 48 gawa kwa 3 jibu ni 16, na 54 gawa kwa 3 jibu ni 18.

Wewe hesabu yako ume-google kimakosa.
Sio kweli, sentimita 100 (mita 1) = sentimita 90 (futi 3)? Mita 1 = futi 3.3

Hiyo futi 48 kwa futi 54 ukigawa kwa futi 3.3 itakuja mita 14.5 kwa mita 16.4

Endapo ukifanya hesabu jinsi ulivyofanya wewe kuna ongezeko la mita 1.5 kwa mita 1.6
 
UNAUZA KIWANJA JAMIIFORAMU

Humu utapata comments nyingi ila hata missed call hutapata
 
Back
Top Bottom