Recent content by jogijo

  1. jogijo

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaotaka kufanya biashara ya Alizeti, msimu ndio huu hapa

    Dumu ngapi na uko wapi!?
  2. jogijo

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaotaka kufanya biashara ya Alizeti, msimu ndio huu hapa

    Ewaa na mwaka huu yatapanda tu bei
  3. jogijo

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaotaka kufanya biashara ya Alizeti, msimu ndio huu hapa

    Gunia saiv ni kati ya 30000 Hadi 35 dum ndio 43000 to 50
  4. jogijo

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaotaka kufanya biashara ya Alizeti, msimu ndio huu hapa

    Habari wakuu! Niliwahi kuandika hapa kuhusu biashara ya alizeti na mafuta yake! Kwa mwaka huu kama unataka kufanya biashara fanya hii na itakulipa! Mafuta yameshuka Sana bei Hadi kufikia 48000 Kwa dumu la litre 20. So hapa uhakika wa kupata double profits Kwa mwaka huu upo. Mm mwaka huu sina...
  5. jogijo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nesi akiri alivyomhanithi mumewe na kumuua polepole kwa dawa ya macho

    Daaah! Mungu aturehemu
  6. jogijo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania No matter how sweet it is......

    Wa kibosho
  7. jogijo

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kuwa mwalimu

    May be nikuulize hivi! Ukipandishwa daraj tuseme ukiwa E1 ina mshahara ya 900+. Je kuna categorisation itakufanya uende na hio au utarudi kwenye 700+ anayoanza nayo wa bachelor! Nina option 2 by next year, kusoma CPA au masters japo hapa kwa masters sinanua sana course ipi naweza soma but open...
  8. jogijo

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kuwa mwalimu

    Hiko kitengo kweli hakipo! Vipi unaweza ukafanyaje kikaongezwa pale?
  9. jogijo

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kuwa mwalimu

    Mkuu nasikia ukisoma CPA ukafanyiwa recategorization unapewa mshahara wa kunazia wa bachelor! Kuna ukweli wowote?
  10. jogijo

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kuwa mwalimu

    Nipo mkuu, napambana na maisha nje huku na Mungu ni mwema ila kazi sijaacha na siachi.
  11. jogijo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maneno ya kejeli ya mume wangu

    Acha kurisha watu kima wewe, hapo ndio akutane na mwanaume mwingine muanze kulia lia hovyo.
  12. jogijo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mke wa mtu ilivotokea hadi nikamla.

    Omba tu Mungu na utumie akili kuoa, kuna mtu alimwagiwa mafut ya kula ya moto na mkewe akiwa usingizini.
  13. jogijo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mke wa mtu ilivotokea hadi nikamla.

    Haina shida! Hio ilikua kwa ajili yangu na Mungu wangu sio mm na mke.
Back
Top Bottom