Recent content by Jogacom

  1. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta salon ya kiume ya kununua hapa Dar

    Habari, Nahitaji salon ya kiume ya kununua hapa Dar. Mwenye anayo anicheki. Ahsante.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nani anajua saluni ya kiume inayoweza kukata nywele ya kizungu vizuri kwa maeneo ya Dar?

    Mkuu mimi ni Kinyozi Binafsi,nina uzoefu na hizo nywele kwa miaka mitano nikiwa ktk jiji la Capetown south afrika.Popote nakufuata ndani ya Dar es salaam.Nicheki 0756331481
  3. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempenda sana. Natamani nimuoe lakini ana mtoto mmoja na mimi sina

    Bila shaka wewe ni Single Mama.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa mtu mwenye uwezo wa kusoma na kuelewa Kingereza.

    Umri umenitupa
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba sina hisia naye na wala sio aina ya mwanamke nimpendae kimuonekano lakini...

    Kwa bikra ilikuwa yenyewe sina shaka
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba sina hisia naye na wala sio aina ya mwanamke nimpendae kimuonekano lakini...

    Mkuu Nashukuru sana kwa ushauriwako mzuri na wenyekujenga.. Kitu pekee ninachokipambania ni kupata utulivu wa nafsi nikiwa na familia ninayoipenda.Tatizo ni Hisia na huyu zimekata kabisa licha ya kujitahidi kujizuia lakini nimeshindwa.Miezi mitano sasa sijawahi furahia uwepo wake😥
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba sina hisia naye na wala sio aina ya mwanamke nimpendae kimuonekano lakini...

    Naoa nipate utulivu na amani ya moyo.Naona siwezi kuvipata kwa huyu sababu sina hisia nae kabisa
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba sina hisia naye na wala sio aina ya mwanamke nimpendae kimuonekano lakini...

    Ushauri wowote wa jinsi gani nita handle hii situation
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba sina hisia naye na wala sio aina ya mwanamke nimpendae kimuonekano lakini...

    Habari, Bila kupoteza muda ni kwamba, mimi ni kijana wa miaka 34 sasa. Nilikuwa nchi moja Afrika katika kutafuta maisha kwa muda kidogo, sasa nikaona umri umekwenda itabidi nirudi nyumbani niangalie uwezekano wa kuwa na familia. Sasa nilipofika home nikawa na wakati mgumu kumpata mwanamke...
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo ambayo Mwanamke asikutishe nayo.

    Tena anavyokomaa nisimuharibie Malengo yake dah
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo ambayo Mwanamke asikutishe nayo.

    Nimekuta Bikra akiwa na miaka 25,nikafanikiwa kuitoa kwa makubaliano kuwa nitakuwa mume wake ktk siku zijazo.Nikaambiwa kama nikimchezea atanilaani nisije fanikiwa ktk maisha yangu[emoji24]. Sijawahi kumcheat ila kwasasa hisia zimekata kabisa kwake.Nafikiria kukaa mbali nae ila naogopa laana.
  12. J

    JamiiForums Tanzania BIASHARA YA SALOON

    Ukihitaji kinyozi nicheki mkuu
Back
Top Bottom