Mambo ambayo Mwanamke asikutishe nayo.

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
3,468
8,287
Kuna wanaume wengi sana wamekua blackmailed na wanawake kwa mambo ya kijinga sana. Yaani wanaume wamekuwa mateka wa wanawake bila sababu za msingi .

1: kukuambia bila yeye hauwezi kwenda, hii futa kabisa nje kuna wanawake wengi mno hadi utachoka wewe.

2: kwamba atakualaani, aisee kungekua na laana rahisi hivyo basi tungeanza na walio telekeza masingo maza hawa wanaume wote wangekua wanatembea wamevaa vyupi kichwani.

3: kwamba atakuloga, wewe kama mwanaume usiogope kwani waganga wapo kwa ajiri ya wanawake na wanaume, unaogopa nini....? Kama unasali sali sana kama unaagua agua sana. Infact mwanaume unatakiwa umshinde kila kitu huyu mkeo.

4: kukufanyia jambo baya, mzee adui wa mwanamke ni mwanamke kama vile ndugu yetu manara kaona kale ka rushaina sijui kana leta mdomo na kujikuta kaziri sana kaamua akaletee chuma chenzie na kukibrand vilivyo, hadi imefika hatua rushana kapotezwa mbaya. Yes huyu ndio mwanaume na sio kulia lia, mwanamke akijifanya anaroho mbaya mtafutie mwanamke mwenzie mwenye roho ya hatari hata kwa kumlipa hata ikifika mahakamani wanasimama wanawake so ngona inakua drow. Ila wewe kama mwanaume chance ya kumshinda mwanamke ni ndogo maana mifumo ya LGBT imetaradadi lila kona hivyo wacha Vyuma viumane.

5,

6....mtajaza mwenyewe
 
Hiww

Sent from my HUAWEI NMO-L31 using JamiiForums mobile app
 
Mamaj aliwai nitishia nisipompa pesa ataenda kujiuza barabarani apate pesa

Ha ha ha....niliishia kucheka Sana
 
Nimekuta Bikra akiwa na miaka 25,nikafanikiwa kuitoa kwa makubaliano kuwa nitakuwa mume wake ktk siku zijazo.Nikaambiwa kama nikimchezea atanilaani nisije fanikiwa ktk maisha yangu.

Sijawahi kumcheat ila kwasasa hisia zimekata kabisa kwake.Nafikiria kukaa mbali nae ila naogopa laana.
 
Muulize kwanza yeye kawaumiza wangapi kabla yako Wewe, bikra is overrated
 
Nimekuta Bikra akiwa na miaka 25,nikafanikiwa kuitoa kwa makubaliano kuwa nitakuwa mume wake ktk siku zijazo.Nikaambiwa kama nikimchezea atanilaani nisije fanikiwa ktk maisha yangu.

Sijawahi kumcheat ila kwasasa hisia zimekata kabisa kwake.Nafikiria kukaa mbali nae ila naogopa laana.
Kwani hiyo bikira alikua nayo yeye tu mkuu. Kibaya usimdharau au kumfanyia vurugu na kumnyanyasa
 
Back
Top Bottom