BIASHARA YA SALOON

Mayova

Senior Member
May 10, 2018
182
123
Wakubwa mambo vip? Mwenye uzoefu wa biashara ya saloon ya kiume naomba asaidie kushare faida na hasara au changamoto kwa ujumla za biashara hii. Asanteni sana
 
Saloon inategemea Sana na utaalamu wa kinyozi...saloon mpya ni ya kuvumilia Sana hata miezi sita inaweza kufika kipindi chote hicho unaacha watu kumzoea kinyozi...mambo ya usafi,lugha kwa wateja hayo yakuzingatia

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
 
Kuna boda mmoja huwa namtumia sana
Aliniambia yeye Ana saloon ya kiume kodi analipa laki
Kaweka viti vinne
Kila kiti kimoja anataka kimuingizie elfu kumi kwa siku.....
Kwahiyo wafanyakazi wake piga ua lazima wampelekeee elfu 40 kila siku
Umeme,mishahara sijui na makorokoro mengine wanajitegemea
Yeye analipa kodi tu.

Itakuwa iko location nzuri sana hiyo watu wengi
 
Huu ni muongozo ama story?

Back
Top Bottom