Anatafutwa mtu mwenye uwezo wa kusoma na kuelewa Kingereza.

Secret Star

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
1,708
1,553
ASANTENI AMESHAPATIKANA

Habari tunatafuta mtu mwenye uwezo wa kusoma vizuri kingereza kukielewa. Awe na umri katika ya miaka 18 hadi 25. awe maeneo ya dar es salam. kwa kuanza mshahqra ni Laki Mbili na mshahara utaongezeka kutokana na ufanisi wake kazini.
 
Habari tunatafuta mtu mwenye uwezo wa kusoma vizuri kingereza kukielewa. Awe na umri katika ya miaka 18 hadi 25. awe maeneo ya dar es salam. kwa kuanza mshahqra ni Laki Mbili na mshahara utaongezeka kutokana na ufanisi wake kazini, Wasiliana nasi whatsapp kwa simu no 0626715721
Mimi hapa mkuu ninaongea na kuandika kiingereza kizuri na nina degree ya sociology. Ngoja kwanza nimfungulie shemeji mme wa dada geti anapiga honi halafu baadaye ntakuja kuendelea kujieleza zaidi.

adriz Intelligent businessman
 
Habari tunatafuta mtu mwenye uwezo wa kusoma vizuri kingereza kukielewa. Awe na umri katika ya miaka 18 hadi 25. awe maeneo ya dar es salam. kwa kuanza mshahqra ni Laki Mbili na mshahara utaongezeka kutokana na ufanisi wake kazini, Wasiliana nasi whatsapp kwa simu no 0626715721
Umri umenitupa
 
Back
Top Bottom