Recent content by jofujulius09

  1. jofujulius09

    JamiiForums Tanzania Nyuzi muhimu za mambo mbalimbali yaliyotolewa ufafanuzi Jamvini

    Iko poa sana aseee
  2. jofujulius09

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya 250k mpaka 270k simu gani nzuri nichukue?

    Oya wakuu vipi simu za mkopo za tigo kuna ukweli kuhusu kuzi unblock wazee???
  3. jofujulius09

    JamiiForums Tanzania Unapenda game unaijua call of duty wewe?

    Game tamu sana aseee
  4. jofujulius09

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Ok shukran chief nimekuelewa vzr
  5. jofujulius09

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Nimekusoma mkuuu na k2 kingine kwamba nna miaka 21 arafu nna diploma na kwenye sifa zao diploma kuanzia miaka 23 hapo inakuaj chief??.
  6. jofujulius09

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Nimejitetea kiivo jee nimeenda opii au niko right kuandika ivo
  7. jofujulius09

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Ok shukran chief kwa kunipa moyo nimejaribu kuapply tayar na kweny barua nimeandika kuwa nimeambatanisha progres coz vyet bdo mpaka mwez december 2 ndio tutapata hzo transript. Na vip kuhusu kusort barua sana sana wanaangailia nn chief??
  8. jofujulius09

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Ok mekuelewa nilienda kuuliza transcript chuon kwe2 wakasema bdo but wametupatia progress report ambayo inaonyesha coz zote nilizosoma na grade zake kasoro GPA sasa si naweza tumia tuu ata hii chief
  9. jofujulius09

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Aah ok cz nimeona kweny qualification zao fom4 wa mwaka huu wanatumia statement of results
  10. jofujulius09

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Sory mku iv kwa mfano tuliomaliza vyuo mwaka huu hatuna origino vyeti ila tuna statement of results twaweza tumia mzee kuapply
  11. jofujulius09

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Naendelea kuwakumbusha mwez hhuu ndio unaisha ivo asante
  12. jofujulius09

    JamiiForums Tanzania Namba yangu umepata wapi?

    noma
  13. jofujulius09

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

    duuh noma
  14. jofujulius09

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    nawakumbusha tuu leo ni 4 september!!
  15. jofujulius09

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    mbona official web hamna hii kitu? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom