Hata mimi ningegoma kuchangia. Sio haki kidogo. Mhe. Ndugai ametumia 13m first class ticket pesa ya walipakodi. Serikali ina matumizi mabovu sana matokeo yake ndio haya.
Wabongo viumbe wa akabu eti profesa amedhibiti mgao! Kwani mgao ni sifa? Mgao ni aibu ya ajabu ktk dunia ya leo, ni janga la kitaifa. Mipango mibovu ya maendeleo ya nishati, ubabaishaji wa serikali, mikataba ya kilaghai eg. IPTL etc ndio husababisha migao. Sasa gas kibao tunayo bei ya umeme...
Acheni kipotosha wananchi nimehudhiria mikutano mitatatu ya kampeni za ukawa huku kwangu salasala kilimahewa. Watu wanahudhuria wengi tuu na hoja muhimu kuhusu matatizo ya wakazi wa hapa yapo wazi. 1. Kero sugu ya maji 2. Ufisadi wa viwanja vya umma vya michezo na soko kuuzwa na viongozi wa ccm...
Ukirudisha usiporudisha doesn't change a thing. Usishabikie siasa kama Barcelona na Real Madrid. Elimu na uwelewa ni muhimu katika kutoa hoja. Maridhiano sio Quran wala bible. Hekima ndio msingi wa maamuzi yalofikiwa. Wewe ulitakaje? Grow up politically dude!
Pasco well said bro. My point is nyakati ni tofauti enzi za EPA the political equation was different, munkhari wa wananchi regardless na political background ulivyo sasa wote wanaungana as one na wanataka kuona at least for once serikali iwajibishe wahusika. Hutaeleweka ukiwa tofauti.
Huyu mtu anaishi Tanzania? Yupo dunia gani huyu mtu? Anaishi kwenye ndoto ya kiza kama wafu. Eti ccm itawaletea maendeleo kwa hiyo hayajafika? Yapo wapi? Miaka 50 yapo njiani? So tueleze lini yatafika? Hivi huyu maswi ni mpinzani? Kuwaita wabunge tumbili na washenzi na wajinga nani anatukana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.