Recent content by Joendu85

  1. Joendu85

    JamiiForums Tanzania Msaada bei ya webhosting service in tanzania kwa mwaka

    Ongea nao vizuri wanaweza kukufanyia hata half way yake mkuu! Sent from my BlackBerry 9300 using Jambo Adverts Tanzania Networks.
  2. Joendu85

    JamiiForums Tanzania Msaada bei ya webhosting service in tanzania kwa mwaka

    Kwa kampuni ya Jambo adverts, domain ni 15 USD na 100 USD unapata unlimited web space which includes unlimited emails, bandwidth. 24/7 full support! 99.9% up running servers! More info call: 0784 716989 au 0758716989 Sent from my BlackBerry 9300 using Jambo Adverts Tanzania Networks.
  3. Joendu85

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu PayPal!

    Pole sana! Nina uhakika umeisajili kadi yako kwa paypal, sasa Hiyo verication code inapatika katika Benk yako! Nenda sehemu wanayotoa kadi waambie wakupe verification code! Then utaiingiza kwenye space inaposema enter verification code (4 digits) then kadi yako italink na paypal akaunti. Nenda...
  4. Joendu85

    JamiiForums Tanzania Network ya tigo iko down

    Tigo miyeyusho kinoma! Bora amia mtandao mwingine tu! Sent from my BlackBerry 9300 using Jambo Adverts Tanzania Networks.
  5. Joendu85

    JamiiForums Tanzania Barclays Bank (Tanzania) yafunga matawi 10 nchini

    Sawa bana Sent from my BlackBerry 9300 using Jambo Adverts Tanzania Networks.
  6. Joendu85

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa kimachame ni wakatili kuliko simba?

    Ni asili yao! Mtu hawezi kubadili asili yake. Sent from my BlackBerry 9300 using Jambo Adverts Tanzania Networks.
  7. Joendu85

    JamiiForums Tanzania SHIBUDA: CCM imejaa wachumia tumbo!

    Hii nimeipenda sana na bado!
  8. Joendu85

    JamiiForums Tanzania Natangaza rasmi kujivua CCM na kuwa mwanachama wa CHADEMA; wewe je?

    Ukitaka na kadi nitakupa Sent from my BlackBerry 9300 using Jambo Adverts Tanzania Networks.
  9. Joendu85

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa Kuwafelisha Waislam Kidato Cha Sita Wabainika

    Hivi mbona nyie mnapenda sana kulalamika kila wakati!? Kila kitu nyie ndio kihelehele kuona mnaonewa! Hayo matokeo si washehe wenu ndio wanashahihisha au wachungaji!? Acheni utoto nyie! Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Back
Top Bottom